Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za mijengo yenu wapendwa, leo tena imejirudia crash kama ile ya kipindi kile sasa sjui mie ni wa crash tuu.
Na kama wakati ule sijapata nafasi ya kuchukua namba ya simu ila tulipigiana honi tuka smile.
Mara hii nilikuwa natoka airport kufatilia mzigo flani nikasema wacha nipite sokoni buguruni nichukue matunda ya kutengeneza smoothie za wiki nzima.
Sasa narudi home kupitia mandela road nikiwa kwenye mataa ya buguruni ikaja Nissan march T....CSL ilikuwa ya rangi ya orange.
Tumetazamana weeh mwisho tuliporuhusiwa tukiwa mandela road ndo tukapigiana honi, this time nilikuwa kwenye grand noah V6, sasa mie nikabaki nyuma nilikuwa naenda sped 40 yeyeakatangulia akaniacha ila kufika tabata kubwa nikaona anakata kuelekea tabata basi ndo ikaishia hapo.
Nimejiuliza tuu, nitapata mume kupitia crash za barabarani hivi maana hii mara ya pili sasa.
Halafu huyunaeni m cutee, yaani hand some kweli mmmhhh Kasinde mie nini kinanitokea...?
Ntarudi kwenye bajaji maana naona hizi crash.... sijui mwisho wake labda ndo husband anakuja kwa njia hiyo.... let me see mwisho wake utakuweje..!
Usiku mwema nyote!