fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,670
- 7,301
Mimi huwa sipaniki hata siku moja na hata ukisoma bandiko langu hutaona hata neno moja la panic bali nampa mtu kuntuUmeshapanic 🐼✔️
Mimi huwa sipaniki hata siku moja na hata ukisoma bandiko langu hutaona hata neno moja la panic bali nampa mtu kuntuUmeshapanic 🐼✔️
ChakandumuzAcha kufikiria Kwa kutumia Makalio Pimbi weeee
Kuna Licable limeunganisjwa kati ya NIDA, CCM NA TUME YA UCHAGUZI. Utatu mtakatifu.Mmeshamsahau lissu
Chakandumuz kweli hamnazo
Mipasho 🐼
HayaMimi huwa sipaniki hata siku moja na hata ukisoma bandiko langu hutaona hata neno moja la panic bali nampa mtu kuntu
Mfumo wa CCM vipi usomane na NIDA?Mmeshamsahau lissu
Chakandumuz kweli hamnazo
shukranHaya
Amani?Hawa wanaotaka kuleta taharuki kwenye nchi ambayo amani yake imelindwa miaka yote inabidi watazamwe sana.
Hayo siyo yangu lakini unaujua mfumo wa ccm? Una uhakika unasomana na nida? Na ukisomana unaathiri vipi kura? Je kuna haja kadı ya Kuwa na voters registration card kama nida can do the job?Mfumo wa CCM vipi usomane na NIDA?