Mkuu,
Ninakubaliana na wewe lakini kwenye market kuna a lot of manipulation. Mfano, gas kipindi cha winter maitaji ni makubwa na kwa akili za kawaida utaona lazima bei ipande au kubakia hapo hapo. Lakini mwaka huu bei ilishuka kuvunja record. Na sasa tunaenda summer ambapo maitaji yanashuka lakini cha kushangaza bei ndio inapanda.
Kuna watu walinunua wiki hapo nyuma baada ya Saudi Arabia, Russia na USA kufikia makubaliano na kupunguza production. Niliwaonya kwamba it is not going to be that easy. Labda price itashuka tena lakini sikutarajia kwa kiasi hiki!
I learned the hard way kwamba chochote kinachooneka ni rahisi kutengeneza pesa kwenye market itakuwa sivyo!