Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,616
- 164,653
Tangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi.
Sasa wadau,leo ndio mishahara imetoka na hata foleni za kwenye ATM jioni hii zinathibitisha hilo tofauti na jana na juzi lakini mtumishi mmoja tunaefahamiana katoka kwenye ATM muda huu anadai hakuna kilichobadilika.
Swali ni je,hiyo increment imeishia kwenye payroll tu au hii increment inatolewa kwa mafungu?