Mama Makinda amekuwa Board member kwa mashirika zaidi ya sita (6) kwa wakati mmoja 1976-1983 (NBC, TRC, Elimu Supplies, Tanzania Legal, Mbeya Textile,National Textile, e.t.c) sasa mtu kama huyu hata kwenye Board meeting anaweza kuwa active na kuchangia ipasvyo b'se apart from all these responsibilities alikuwa na permanent responsibilities za kumuweka bussy, kwasababu Board member unahitaji kuifahamu vizuri shirika na performance yake.
Mashirika haya ilikuwa lazima yafe kwa staili hizi za kumpa mtu mmoja kofia nyingi wakati wengine wakitembea kichwa wazi.