Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi
kinachoniacha hoi ni pale anapotumia muda mwingi kutambulisha wageni kama wake na waume wa waheshimiwa wabunge...je huu si upotezaji wa muda muhimu unaolipiwa gharama kedekede huko Dodoma instead of discussing serous issues na important matters tunapoteza muda kupeana intro bungeni? Huku tukibaki na viporo vya hoja na kuvifowadi vikao vya mbele...
Kwa speed hii tutafika kweli?
Inkoskaz, Spika Makinda ana madudu yake, lakini hili la maswali kwa kifupi na majibu kwa kifupi ndiko kutalifanya bunge liwe vibrant. Bungeni sio mahali pa kupiga siasa. Zile enzi za kinapanda, kinashuka na kuzunguka zunguka zimepita. Swali liulize facts lijibiwe kwa facts na liishe.Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi<br />
kinachoniacha hoi ni pale anapotumia muda mwingi kutambulisha wageni kama wake na waume wa waheshimiwa wabunge...je huu si upotezaji wa muda muhimu unaolipiwa gharama kedekede huko Dodoma instead of discussing serous issues na important matters tunapoteza muda kupeana intro bungeni? Huku tukibaki na viporo vya hoja na kuvifowadi vikao vya mbele...<br />
Kwa speed hii tutafika kweli?
Spika katumwa na watu wa kundi fulan na wamempa mbinu ili kupitia kwazo waweze kufanikisha uozo wao,ila sio makinda tu hata wabunge wetu wanapoanza eti kuwashukuru kwa kuwataja majina wake,watoto,binamu pamoja na waganga wao kwa kuweza kufanikisha zoezi la kuingia bungeni ni ufisadi mwingine ambao nafikiri tuanze ku deal nao, hatujawatuma waende bungeni kutangaza majina ya wake na watoto wao,...
yaani nafikiri wabunge pale ni kijiweni wanaenda kurelax na kujiondolea misukosuko ya kuombwa misaada jimboni