Jamani huu mwaka wa uchaguzi CCM. Alikuwa anapiga kampeni za uchaguzi CCM kwa kujipambanua kuwa yeye ni kada mzuri hasa katika kutetea madudu ya CCM. Naona mabadiliko ya katiba yao yanayowaondoa wabunge kugombea mpaka wapate vibali yatamfanya ajifikirie tena. Yule mama ni mchumia tumbo, bunge lililopita alikuwa anakomalia sana serikali kwa sababu yeye alitaka kuwa first lady, alipokosa akataka walau ateuliwe kuwa waziri alipokosa akaona bora amwage mboga. Si katika kundi lile lile la hypocrites maana nikisema kwa kiswahili nahofia watetezi wake humu JF kutoka povu bila sababu.