alishamzulumu mama mmoja kiwanja huko ukonga...
yeye mwenyewe tapeli!
yeye mwenyewe tapeli!
na wewe CHADEMA wameingiaje hapa watu wasitoe maoni yao?Ukiona sentence kama hizi ujue ni chadema. Hadi mnakera sasa. Kila kitu nyie ni negative tu!? We r fed up of u.
Ukiona sentence kama hizi ujue ni chadema. Hadi mnakera sasa. Kila kitu nyie ni negative tu!? We r fed up of u.
Awali ya yote nimwombe mwanzisha mada anithibitishie kama anamufahamu na kumuelewa vema Katibu Mkuu wa Hiyo wizara! Usicheze na Patrick bwana! Kaingia hapo Wizarani Mwaka huu tu lkn tayari amemudu kupunguza urasimu kwa kiwango kikubwa. Hati unapata ndani ya miezi mi3, wafanyakazi wa wizara wanaogundulika kuhodhi viwanja wananyanganywa, miradi ya viwanja 20,000 Dsm amehusika sana kuifanikisha huku akipunguza upendeleo na rushwa ktk upatikanaji. Ni utendaji wa huyu KM uliowakimbiza wafanyakazi wazembe wakiwemo Wahadhiri wa UCLAS walizoeakutumia Wizara kama kijiwe au anwani yao.
Lakini pamoja na kugawa viwanja 20000 pesa zetu zimeliwa bila kutufikishia miundombinu toka 2006 hadi sasa kama tulivyoahidiwa pale Mwongozo kigamboni. Mwache ahukumiwe
hata mama magreth sitta alipopewa wizara ya elimu watu walisema sasa walimu wamepata mkombozi lakin nini kilichotokea. Wasiwasi wangu hata huyo mama tibaijuka anaweza kua controlled na mafisadi na asifanye tunayotarajia.