Makongo juu iko mbioni kuwa mji mpya, an imeshaandaliwa. Mama Tibaijuka ndiye anayeisimamia na bungeni kwenyw bajeti yake alieleza. Kama unajua plan hiyo mpya ndo unaweza kusema kuwa may be anapojenga sasa ni hifadhi ya barabara, vinginevyo anaweza kuwa anawahi huo mpango mpya kwa kujua ramani itakuwaje..