Anna Tibaijuka ajenga kwenye hifadhi ya Barabara.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Mh Anna Tibaijuka anajenga nyumba ya kuishi Makongo juu ndani ya Hifadhi ya Barabara.Ni vema sasa ikajulikana nini hatma ya nguvu ambayo mama huyu amekuja nayo kwenye wizara hii.Tuwaelewe vipi hawa?
 
Mh Anna Tibaijuka anajenga nyumba ya kuishi Makongo juu ndani ya Hifadhi ya Barabara.Ni vema sasa ikajulikana nini hatma ya nguvu ambayo mama huyu amekuja nayo kwenye wizara hii.Tuwaelewe vipi hawa?

Unaleta majungu yasiyo na ushahidi. Prof. Tibaijuka amekuwa na nyumba makongo hata kabla hajaenda UN kufanya kazi. Labda utueleze hiyo nyumba anayojenga iko katika kiwanja gani na maeneo gani ya makongo.
 
Hilo ndio ulipaswa umuulize kabla hujamtuhumu kuwa analeta majungu. Yeye kasema anajenga, wewe unasema ana hiyo nyumba toka zamani. Huoni hizo ni story mbili tofauti?
 
Naelewa nyumba yake ya awali haiko kwenye barabara labda kama hii ni mpya na bado siamini madai yako kwani mama huyu ni zaidi ya anavyoonekana,she is wise enough ama sivyo toa maelezo muhimu ili tukuunge mkono katika hili
 
Makongo juu iko mbioni kuwa mji mpya, an imeshaandaliwa. Mama Tibaijuka ndiye anayeisimamia na bungeni kwenyw bajeti yake alieleza. Kama unajua plan hiyo mpya ndo unaweza kusema kuwa may be anapojenga sasa ni hifadhi ya barabara, vinginevyo anaweza kuwa anawahi huo mpango mpya kwa kujua ramani itakuwaje..
 
barabara ya makongo inapanuliwa from its original plans na victims wa upanuzi ni wengi including her, inaonyesha mama asivyopindisha sheria. Wapo wengi ambao ni victims including UDSM vice chancellor [Mkandala]
 
Hebu elezea vyema mtoa uzi! Anajenga amanyumba yake iko kwa eneo la barabara,kama teyari ilikuwa barabarani!!!! Subiri upanuz ukuanza af yakwake ikiachwa bila kubomolewa ndo ulalamike hapo atakuwa above the law!!! Only time will tell
 
Mh Anna Tibaijuka anajenga nyumba ya kuishi Makongo juu ndani ya Hifadhi ya Barabara.Ni vema sasa ikajulikana nini hatma ya nguvu ambayo mama huyu amekuja nayo kwenye wizara hii.Tuwaelewe vipi hawa?

Dr. John pombe magufuli yuko wapi? nadhani mjulishe hili mh. John atalishughulikia ipasavyo. I count on that guy.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom