Anna Mghwira ni Zaidi ya Jembe shambani

Anna Mghwira ni Zaidi ya Jembe shambani

JOHN WA MARWA

Senior Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
100
Reaction score
61
Kwa Tanzania ilipofikia tunahitaji mtu makini na shujaa kama mama Anna Mgwira. Kwa baadhi waliokwisha fanikiwa msikiliza wataelewa kwanini mama huyu anastahili kushinda uchaguzi huu na kukamata usukani wa nchii hii.

Ni mwanamke ila anazielewa shida zetu na njia sahihi za kuzitatua kuliko wanaume wote waliojitokeza achilia waziri Mkuu aliyestaafu na waziri wa wizara mbali mbali.
 
Akipata kura zaidi ya Diwani wangu wa kata ya Longuo B Manispaa ya Moshi najiuzulu siasa.
 
Huyu mama ana uzoefu wa kushindwa uchaguzi,akiwa CHADEMA ameangukia Pia kwenye uchaguzi mbalimbali.
 
Waiii labda useme ni mfano wa au branch la ccm hapo utaeleweka.
 
Tupeni ratiba ya kampeni ya mgombea urais WA act,au shughuli ndiyo iliishia mbagala?
 
Hajawah hata kushinda udiwani yeye ni bingwa wa kushindwa aka specialist in failure
 
Kama ukiwa mshabiki wa siasa nchini kwa kuangalia wingi wa watu wa kununuliwa utapotea.mawazo yako kijana ni tz ya Leo NA kesho.MAMA ANNA MGHWIRA ANASTAHILI KWA SERA ZAKE @@@ACT WAZALENDO
 
Mpaka sasa huyu mama Kati ya wagombea urais ndo ametoa hotuba with contents.
 
Anamwandalia Zitto mapito uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
 
Watanzania wengi akili za kishabiki,
wanafata upepo tu hawajui kuchambua wenyewa na ndio maana siasa za maji taka ndio zinawateka.
Hapa watu wanaongea kishabiki tu ila waliojibu kumpinga hawajui sera za MGOMBEA YEYOTE au hata kama kuna wanazojua basi ni za mmoja tu.
Ushabiki mbaya sana.
 
Viva mama ANNA E MGWHIRA usitishwe na nyomi wala mafuriko bandia. Kuzikwa na wengi sio kigezo cha kwenda mbinguni, oct. 25 kura zetu kwa mama ANNA E MGWHIRA. Piga chini CCM A na B chagua misingi ya kizalendo
 
Back
Top Bottom