Anna Mghwira
R I P
- Mar 9, 2012
- 206
- 362
Nyomi nzito ni hoja za kujenga nchi yetuna hizo hazitishi, zinatia moyo kujua wako watu wanaipenda Tanzania na wanaipigania. Nyomi za wingi wa watu hizo ni mbwembwe tu.Viva mama ANNA E MGWHIRA usitishwe na nyomi wala mafuriko bandia. Kuzikwa na wengi sio kigezo cha kwenda mbinguni, oct. 25 kura zetu kwa mama ANNA E MGWHIRA. Piga chini CCM A na B chagua misingi ya kizalendo