Democracy Tata
Member
- Mar 24, 2016
- 47
- 27
Hivi alitokea wapi maana aliibuka ghaflaAnna Mghwira Kuhubiri Injili Siasa Basi tena
HATIMAYE Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia Injili huku akiwa bado mwanasiasa.
Mgwira kuitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia Injili,ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja
annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.
annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni
Chanzo muungwana blog
Hivi alitokea wapi maana aliibuka ghafla
Naku unga mkono bila hiyanaHuyo mama yuko vizuri kila idara sababu sio mnafiki, Mungu ambariki huko aendako.
Zitto atakuwa anajuaHivi alitokea wapi maana aliibuka ghafla
Pale kawe mbona inachanganywaInjili na siasa za kibongo ni mafuta na maji havichangamani.
Siasa za kibongo ni sawa na kutongoza dem ukimpa ukweli hakukubalii ila ukimuongopea ndio anaingia kingi mzimamzima.
Duuuh!!!!siasa............Alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.