Anna Mghwira Kuhubiri Injili ndani ya siasa

Mar 24, 2016
47
27
Anna Mghwira kuhubiri injili siasa basi tena

HATIMAYE aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia injili huku akiwa bado mwanasiasa.

Mgwira kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia injili, ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja.

annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.

annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni
WhatsApp-Image-20160708.jpeg


1a4f1309bd1d333c875e968467fc6d15.jpg
 
Anna Mghwira Kuhubiri Injili Siasa Basi tena


HATIMAYE Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia Injili huku akiwa bado mwanasiasa.

Mgwira kuitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia Injili,ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja

annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.

annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni

Chanzo muungwana blog
1a4f1309bd1d333c875e968467fc6d15.jpg
Hivi alitokea wapi maana aliibuka ghafla
 
Kwanza huyu mama ni nani kwenye chama chake maana kila kitu anafanya zitto au ndiyo mambo ya mwenyechama anataka kifanyike anachotaka yeye.
 
...very tactical / anaakili sana...injili will simplicate his will of being a successful politician / big up...
 
Salamu zangu za kwanza zimfikie Gwajima.

Salamu zangu za pili zimfikie mama rwakatale.

Salamu zangu za tatu na za mwisho zimfikie mchungaji peter Msigwa.
 
Labda ndio mwanzo wa nyumba kuanguka, yule alikwenda kenya kusoma huyu anageukia injili ,ndani ya miezi minne!
 
Alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.
Duuuh!!!!siasa............
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom