Anna Makinda

who cares?

Oh Yes, I CARE passionately, She is the speaker of the House! and we deserve a better role model for our beloved girl-children, She surely needs to come out with a repetence/regrett statement if at all she has an Illegitimate child,. Can this historical moral deficit be the reason to explain her underperfomance as the Speaker of Our Glorious Parliament!!!!!!!!!!??????????

OOh Sorry just thinking Loudly.,
 
Kuwa mswahili ni taabu kwelikweli...Oprah Winfrey pamoja na utajiri na umaarufu wote alionao, hana mtoto na wala haumizi kichwa kwa hilo, na wenzake Wamarekani wala hawana muda wa kujadili hayo, wao wapo busy kufikiria jinsi ya kwenda kwenye Mars, kwenda mwezini, kutafuta tiba za cancer, ukimwi, ebola kutengeneza air bus za kubeba abiria elfu moja kwa safari moja...

Sie waswahili a.k.a wabongo wenye bahati zetu na tuliobarikiwa (Mungu atupe nini)........kazi yetu kubwa ni kukaa barazani kucheza draft na karata, kunywa kahawa, kujadili siasa na EPL, kujadili nani ana mtoto nani hana...na wala wazungu hawatuulizi....tukitaka misaada wanatupatia.

Na ningeshauri na hili la spika mlipeleke bungeni ili tuone mjadala motomoto......muda si tunao...kazi wazungu watatufanyia wakimaliza watatuletea matunda/mazao.
 
Aliyekwambia Oprah hafatiliwi nani? unajua yupo katika list ya watu 8 maarufu wanaovuta bangi kwa kuihusudu, yupo na wakina Wizzy Khalifa, Miley Cyrus, Snooop Lion n.k

Marekani na Ulaya upaparazi unalipa, ukiwapatia TMZ habari yenye ushahidi unalipwa vizuri.

Mtu ukiwa maarufu lazima watu watake kukufahamu nje ndani.
 
yaleyale ya kusema,eti mungu alimpenda mwanawe mpaka akamtoa auliwe msalabani..hivi unaweza kumpenda mwanao kisha umtoe auliwe,upendo wa wapi huu?

mkuu, unapomfikiria Mungu,akili ya kawaida ya binadam si kitu Kwake,ni zaidi ya upeo wa kufikiria kwa mwanadam. Unaambiwa, 'Mungu hakuanza',. ulishawahi kufikiria hili kwa kutumia akili yako ukapata majibu? ukihoji sana namna Mungu anavyopenda wanae utaumia kichwa mkuu,ni tofauti na wewe namna unavyopenda. Imeandikwa,"Tutamjua ile siku ya Bwana".
 
Aliyekwambia Oprah hafatiliwi nani? unajua yupo katika list ya watu 8 maarufu wanaovuta bangi kwa kuihusudu, yupo na wakina Wizzy Khalifa, Miley Cyrus, Snooop Lion n.k

Marekani na Ulaya upaparazi unalipa, ukiwapatia TMZ habari yenye ushahidi unalipwa vizuri.

Mtu ukiwa maarufu lazima watu watake kukufahamu nje ndani.

Hapa mada ni kuhusu spika kuwa au kutokuwa na mtoto...na ndicho nilichocomment mimi....kwamba ni utashi wake binafsi....na ndio nikatoa mfano wa Oprah, asivyowanyima Wamarekani wenzie usingizi, coz wanaheshimu na kuelewa nini maana ya maisha binafsi.

Sina tatizo mtu kuja na stori kwamba spika aliiba choclate supermarket, au alimpiga kibao mlinzi wake wa getini...la hasha...ila hili la kuolewa au kutoolewa......kuwa na wa/mtoto au kutokuwa nao....mmmmh......hebu tufanye kazi tumuache mama yetu alale.

Mtoto wa mwenzako ni wako...so hata mimi ni mtoto wake.
 
Enheeeee! safi sana nimependa hayo maneno "tufanye kazi tumuache mama yetu alale"
Mleta hii uzi hiyo ndio kazi yake, maoni yangu na yako yanaonesha kua kazi yake amefanikiwa kwa kiasi fulani. Wote hatuwezi kuwa madaktari, wanasiasa, paparazzi, matapeli, waalimu, waigizaji nk.
 
Picha yake please na za hao watoto mnaosema wako kwa obama, Tyta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom