Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.


Hapo kwenye Bold kama umeielewa comment yangu hapo juu wala usingerudia hiyo sentensi yako. Lazima kwako ni fact kuwa Muhhamad ndiye founder wa uislam maana ndiyo umekalilishwa hivyo ndiyo maana umeishia kusema ni fact bile kuweka evidence za kuprove hicho unachokiamini. Umesoma wapi kwenye kitabu kipi wakasema Muhammad ndiye muasisi wa uislam?Hivi unavyojishaua unaisoma Vitabu umeshindwa kuona kwenye Quran wamesemaje juu ya mwanzo wa uislam?


Hapo kwenye RED mimi simo hiyo ni dialogue nyingine kabisa ambayo kuna watu wameshawahi kufungwa jela kwa kauli hiyo.
 
Hili nilikuwa silijui. Naomba unifahamishe pole pole kwa evidence hasa kwenye rangi nyekundu.

Wasalaam

Evidance zangu zitakuwa ni za kiimani yangu sana ambayo wewe huiamini so ni bora tuliache hilo hivyo.Nilikuwa najaribu kukuelewesha tu ili ya kaisari umuachie kaislai na ya Mungu...... (Ya wenye imani nyingine tofauti na yako waachie wenyewe na yako yaendelee kuwa yako)
 

Ustaadhi jibu swali....weka evidence Uislam ni kabla ya Quran period! Great thinker will get only Wheat from the Chaff
 

Hivi ana watoto? nderingosha
 
Last edited by a moderator:
Ayataje yaliyozidi katika orodha yake. CCM kiboko, wanauzoefu lakini kwa kuropoka kana kwamba ndo kwanza wanaingia kwenye siasa na uongozi
 
Nilikutaadharisha mimi si mtu wa Mihadhala, unajambajamba tu hapa hakuna lolote la maana unaloandika. you're in my ignore list.
 

Kama nimepotosha mbona na wewe umeyataja yale yale? Nimepotosha wapi?? Nia ya alichosema ni ile ile kupunguza wingi wa makanisa sio? mie sikutaka kuwa msemaji wa waislamu wacha waje wajisemee wenyewe......
Alafu jina lake na dini wapi kwa wapi??? mie naitwa kaa la moto Hussain je kwani kuna shida lakini mie mfuasi wa Yesu kwani shida iko wapi?? ebu soma aliyosema alafu tafuta nia utanielewa!


 
uyu mama kweli amnazo....sitaki kuamini kama aliwaza kabla ya kuongea hili...tumsamee bure huenda alipitiwa
 
Baa, guest house, madanguro, kumbi za miziki na taarab zimekuwa nyingi pia hizi mwasemaje?
 
Makanisa mengi kwani idadi inayotakiwa ni mangapi? Na nani anatoa idadi hii?

Mbeya wanaongoza kwa kuwa na makanisa mengi! Sina hakika kama uhalifu umepungua maana juzi kati walimzika mtuhumiwa wa kuua kwa uchawi akiwa hai!...Kwanini nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi idadi ya makanisa yanapungua? kwanin katika nchi masikini kama Tanzania Makanisa yanaongezeka?...Mkuu kirenga najua wewe ni miongoni mwa Watanzania waliobahatika kukanyaga bahari 7 kama sijakosea...funguka mkuu...
 
Mtawajua kwa matendo na maneno yao.kuna wakati ambapo hata wachawi na waovu wengine hujisema bila kujua kwamba wao huroga,huua,huzini au huiba .NAPITA JAMANI.
 
Naona ana mapungufu ya akil maana mtu mwenye akili zake hawez kuwa na mawazo finyo ivoooo
 

Usichanganye mambo mawili tofauti.

Mimi mwenyewe sifagilii makanisa kwa saaana.

Lakini nafagilia uhuru wa kuabudu (na kutoabudu) kwa saana kuliko nisivyofagilia makanisa kuibuka kama uyoga.

Kwa maana hiyo, ingawa naona makanisa hayana deal kwa sana kwangu binafsi, lakini naelewa kwamba yana maana kwa sana kwa wengine.

Na naheshimu hao wengine hata kama natofautiana nao. Mimi atheist siamini kama kuna mungu, lakini napenda uhuru wa kuabudu, kila mtu aabudu anavyotaka bila kubugudhiwa, wala kupangiwa idadi ya makanisa.

Hii ni haki ya kikatiba, na kusema makanisa ni mengi ni kuingilia haki ya kikatiba ya wananchi, kwa maana wakitaka hata kujenga kanisa kila mtaa wa pili, kama wanataka wao wenyewe, kikatiba sioni cha kuwazuia kimsingi.

Usichanganye kutetea kwangu haki za kukusanyika na kuabudu kama ni endorsement ya kwamba makanisa yana sehemu muhimu sana kwangu.

Natetea haki ya watu kuwa na makanisa yasiyo idadi bila ya kuwa muumini kama ninavyotetea haki ya watu wazima kuvuta sigara bila kuwa mvutaji (na ingawa kwa kweli nachukia uvutaji wa sigara).

Hapa cha msingi ni haki ya kikatiba kutovunjwa. Kwamba haki hiyo inaleta kitu chenye tija au sivyo, jibu langu na la mtu mwingine hayawezi kuwa sawa. Kwa hiyo sitaki kumjibia.

Nikitaka kumjibia ntakuwa dikteta kama serikali hii inayotaka kupanga namba ya makanisa.

Sitaki udikteta, nataka uhuru wa kuabudu (na kutoabudu pia)
 
Kwa hilo namuunga mkono Anna Abdallah. Kuna makanisa mengi ya kuganga njaa. Umefika muda utadhani baadhi ya makanisa ni hospitali eti yanaponya kila ugonjwa. Makanisa ya jadi kabla ya haya yaliyozuka kama uyoga baada ya sera ya uchumi huria kuingia yalikua yanaganga roho ya mwanaadamu. Haya mapya ya watu binafsi yamekua hospitali, yanajidai yanaponya kila ugonjwa ili yapate wateja kwa wingi waweze kuwachuna.
 
Nilikutaadharisha mimi si mtu wa Mihadhala, unajambajamba tu hapa hakuna lolote la maana unaloandika. you're in my ignore list.


I like to be ignored by the people of your kind!Really like it!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…