Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Hajulikani kama ni POPO au NDEGE mtoto aitwe ANNA baba ABDALLAH....
Mrembo Naona unachanganya mambo kweli. Hapa kuna hoja ya makanisa kuwa mengi na wewe umekuja na hoja ya makanisa kuwa mengi na kelele za waumini. Ok ni sawa sasa mbona kumbi za miziki na baa zimejaa huko mitaani kwetu na zinapiga miziki na hamzipigii kelele na zinafunguliwa zaidi na zaidi kila siku na nyie mnakuwa members wao na wale wa makanisa hawalalamiki?Kwa kiasi fulani nakubaliana na huyu mama.
Nyumba za kuabudia zimekuwa zikijengwa ovyo bila mpangilo maalum, alafu unakuta wanapiga miziki sijui nini siku nzima. Yaani zimekuwa kero kwa kweli.
Mi nafikiri sheria ya ku regulate nyumba za ibada zitungwe. Yes tunataka Uhuru wa kuabudu, lakini basi tusibughuziane.
yaani mara nyingine unakuta kanisa ndani lina watu 2, lakini wamefungulia maspika mpaka mtaa wa tatu huko, ina bore sana
Mrembo Naona unachanganya mambo kweli. Hapa kuna hoja ya makanisa kuwa mengi na wewe umekuja na hoja ya makanisa kuwa mengi na kelele za waumini. Ok ni sawa sasa mbona kumbi za miziki na baa zimejaa huko mitaani kwetu na zinapiga miziki na hamzipigii kelele na zinafunguliwa zaidi na zaidi kila siku na nyie mnakuwa members wao na wale wa makanisa hawalalamiki?
Well, sikubaliani na kanisa kufanya disturbance kwa watu wengine lakini hilo halizuii kanisa kufunguliwa nyingi kama mabaa yanavyofunguliwa mengi. Shetwani ni kweli kwa sasa yuko kazini kupinga kile Mungu anafanya sasa...Kufuatilia maisha ya watu na kuwapunguza wasiende Jehanamu!
Mimi binafsi huwa Napata maudhi sana huku mitaani kwani usiku tunashindwa kulala yaani wote tunalazimishwa kuamka saa kumi na nusu alfajili kwa makelele ya "swala!!! swala!!! swala!!! amka, amka, kitanda chako ndilo kaburi lako, amka kumekucha!!!......" na pia zile za saaa mbili kasoro usiku. Watu tunapiga Safari lager zetu unasikia wallau wakibaru walahu wakibaru.
Kwani muda wa wa kuamka na kwenda kusali nania asiyeujua hadi kupigiana makelele na kutuharibia usingizi wetu.
Yaani natamani serikali wangelitunga sheria kuzuia matumizi ya spikas.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Kadogoo mbona na misikiti inafunguliwa mingi zaidi mitaani?? mbona na nyumba anazotumia shetani zinaota kwa kasi pia???Hivi Mama Ana Abdallah ni dini gani? huyu si ni mke wa Mzee Pius Msekwa? ambae ni Mkatoliki? kuhusu kauli ya Mama namuunga mkono kwani TZ Makanisa yanaota kama uyoga! kila mtu anataka kujenga Kanisa ili afaidike na sadaka za Waumini mfano mwangalie Askofu Kakobe na wachungaji wengine wanavyokusanya pesa za waumini kila Jumapili na Jumamosi! hizi pesa zinaenda wapi? zinakaguliwa na wahasibu? Wa TZ hatuna budi kubadilika na Serikali ni lazima ichukue uamuzi mgumu kuhusu ujengaji holela wa Makanisa nchini!Watu hujenga kutokana na mahitaji! sasa leo si dhani kama waumini wamekosa Makanisa ya kuabudia mpaka tunatumia nguvu na fedha za Waumini bure kujengea Makanisa! utakuta kanisa liko tupu! halafu unajenga lingine aingie nani humo? MaMama Ana Abdallah nakuunga mkono na kuwaomba Wabunge wote wasio wadini wamuunge mkono!
Mkuu nimeuliza maswali mengi mbona nawewe unaniuliza swali kabla hujajibu yangu? naomba uwe mkweli!Kadogoo mbona na misikiti inafunguliwa mingi zaidi mitaani?? mbona na nyumba anazotumia shetani zinaota kwa kasi pia???
Mkuu basi unaonaje kama ikianzishwa operesheni maalumu ya kukamata wendawazimu wote na kuwakabidhi uanachama wa CCM...
Hapo ndio ushahidi tosha kwamba Wakristo ni wavumilivu sana hata mimi nachukizwa sana na tabia hiyo ila sina la kufanya, pata picha kama nyimbo za kaswida zingekuwa zinapigwa bar.....Mimi ni Muislam,lakini kw kias flan nakuballiana na hoja zako katika suala kama hilo,inaweza kuwa kero hasa kwa wale wa upande wa pili,,
lakini pia na huu utaratibu wa kutuletea nyimbo za kumsifu bwana na mapambio kwenye ma bar hapa mjin sasa ushakua kero,kwenye ulevi pia wanaweka nyimbo za kuuonja utamu wa yesu kweli??
Tanzania raha saana,,,ha ha ha,,i love tanzania,,,
Mimi ni Muislam,lakini kw kias flan nakuballiana na hoja zako katika suala kama hilo,inaweza kuwa kero hasa kwa wale wa upande wa pili,,
lakini pia na huu utaratibu wa kutuletea nyimbo za kumsifu bwana na mapambio kwenye ma bar hapa mjin sasa ushakua kero,kwenye ulevi pia wanaweka nyimbo za kuuonja utamu wa yesu kweli??
Tanzania raha saana,,,ha ha ha,,i love tanzania,,,
Jina sio dini,wapo zakaria waislamu,na wapo wa kiristo,wapo Yusuph waislamu,na wapo wakiristo,wapo Adamu waislamu na wapo Adam wakristo nk
da, mkuu mimi sina ufahamu juu ya hili jambo, ila ni vema kama ukanipa nami nikajua, na ni dini gani inayopewa kipaumbele hapo wizarani kwenye usajili kuliko nyingine?
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry: