Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:

Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
Anna Abdallah si muislam ni mkristo,japo nakubaliana nae kuwa hoja yake ya kusema makanisa yapo mengi ni ya kipuuzi,tunataka idadi ya makanisa na misikiti iwe mingi ili watu wazid kumjua mungu na idadi ya vituo vya polisi ipungue kabisa na magereza wafungwa wawe wachache...
Yalianza kuongezeka baada ya yeye kuhama alikokuwa anasali akaingia kanisani. Naona amesahauLeo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
Huyu mama nadhani zile bange zake bado zinamsumbua
Ukiwa Ccm lazima uwe mwendawazim,toitokomeze Ccm kwanjia yoyote