Anko na mama

Anko na mama

NICK2275

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
3,930
Reaction score
924
Katika basi moja,mama mmoja alitaka kumyonyesha mtoto,mtoto akagoma,mama akamwambia nyonya,kama utaki nampa anko anyonye!" anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama.Mtoto akanyonya kidogo akaacha,Mama akatishia tena kumpa anko,ndipo yule kaka kwa hamaki akasema,"mama uwe na msimamo,nimepitiliza vituo vinne kwa ajili hio!
 
jamaa naye alichelewa wakati anamtishia mtoto kuwa nampa anko, jamaa nalo lingefungua mdomo na kulamba kidogo, labda mama angemuachia, ila je? umri huo ni wa hiyo lishe?? Maana unyonyaji wa kiutu uzima hayatoki maziwa hayo aliyotakiwa kupata huyo mtoto, sasa huyo anko angemeza na hayo maziwa???:A S-omg::rapture::boom: acha hizo wewe mtu mzima ooovyoo!!!! Unyonye nini unangojea hadi unapitiliza vituo, fara kabisa
 
<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/car.gif" border="0" alt="" title="Car" smilieid="145" class="inlineimg" /> haya zawadi yako hiyo
<br />
<br />
nimeipenda hiyo gift..
 
Huyo anko nae alikuwa haja tulia hata kidogo eti "uwe na msimamo"
thanks mkuu.
 
ni nzuri ila imejirudia,yakwanza ilikua ya kiingereza umefanya kutafsiri tu
 
Back
Top Bottom