Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker
,nimejikuta naipenda na bei zao ni nzuri Sana.
Tujaribu kushea experience hapa ya hizi bidhaa na ufanisi wake au changamoto zozote ulizokutana nazo.
Karibuni wadau