Animal Farm na Serikali ya Magufuli

Animal Farm na Serikali ya Magufuli

Habarini

Yanayoendelea kwa Sasa katika siasa nchini Tanzania je yanasadifu kile kilichosemwa na mwandishi George Orwell ya kuwa ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT SOME ANIMALS ARE MORE EQUAL THAN OTHERS, Ingawa ni kitabu hiki ni political satire ya yaliyotokea nchini Urusi miaka ya mapinduzi ya Urusi na utawala wa Lenin, kuna amri zilizokuwa zinatawala katika nchi ya kufikirika ya Animal farm na ile ya human Society kama vile Mnyama yoyote lazima avae nguo, mnyama yoyote lazima alale kitandani, Mnyama yoyote yule asinywe Pombe, Na Mnyama yoyote yule asimuue mnyama mwenzake na wanyama wote ni sawa, humo ndani kuna wahusika mbalimbali wanaosadifu makundi mballi mbali ya watu, mnyama kondoo alihusishwa na ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza.

Mkuu Paskali na wajuvi wengine ninaomba mje kutiririka mengi kuhusu hicho kitabu
Within Orwell's animal kingdom there is no real equality- despite the proclamations of animalism ('All Animals Are Equal')- and no potential for class mobility among the lower orders; the sheep will always bray slogans mindlessly, the chickens will always run round in circles clucking senselessly, the horses (Principally Boxer) will always work brainlessly, the dogs will always savage their fellow animals ruthlessly. Only the Pigs have higher mentality and a capacity to change? into what? So many Joneses. So it was, so it will be Forever.
 
Back
Top Bottom