Anguko sasa ni dhahiri

Ngoma ikivuma sana hupasuka.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...
Kuna maneno ya siri yule TB Joshua alimwambia jamaa 'yangu' fulani kuhusu utabiri fulani ambao sio busara kuusema kwa sababu sometimes kauli huumba! .

Naweka kumbukumbu ya bandiko hili, siku ya siku nitakukumbusha na kukueleza TB Joshua alitabiri nini! .

Pasco
 
Hata South Africa baada ya uhuru walitengeneza Tume ya usuluhishi na upatanishi lengo ikiwa ni kufuta uhasama na kuleta umoja……hapa kwetu baada ya uchaguzi……???
poleni sana,naona jamaa yenu anawanyorosha
 
Mwaka wa kuweweseka mpk miaka mitano ntakua mmenyooka

Mwenyekiti CCM JF
 
Kama ilikuwa siri Pasco uliyajuaje? Nitumie kwenye Pm basi maana andiko hili kwenye mabano linanipa shida kidogo (
Ngoma ikivuma sana hupasuka. Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...)
 
Mwaka wa kuweweseka mpk miaka mitano ntakua mmenyooka

Mwenyekiti CCM JF
Kuna kuandika bila kujua umeandika nini na hata ukiulizwa maudhui ya kile ulichoandika utabaki tu kubung'aa
 
Mkuu toa hint kidogo, tafadhali
 

Mtasubiri sana. Kama ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu
 
Mliyataka wenyewe unamfanyia dharau mtu bila hekima tena makusudi unataka atumie hekima kukushughulikia. Never ever
 
Hizi ni tabia za mtoto anayedeka, ukimdekeza kesho atadeka tena, mdekaji mwambie ukweli, "hakuna chakula kingine sababu mwaka huu ni wa njaa" kesho ataridhika na anachokipata. Baada ya uchaguzi madege yaliruka kenda visiwani kutafuta maridhiano matokeo tuliyaona. mtu akadanganywa jitoe, akakimbilia bara kuitisha press conference "sitaki najitoa kwenye suruhu" tukamshangilia. Tukadanganywa ICC inakuja, masharti yakawa Serikali ya mpito bila hivyo hakulaliki, tuwe wakweli. Pitia humu sifa alizopata mtu aliyekataa kumpa mkono mwenzie msibani, huku ni kudeka, na kudeka kuna mwisho. Tuna njaa ya maendeleo uchaguzi mwingine ni 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…