Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Unaanzisha mwenyewe mada, unachangia mwenyewe mada. Basi umeelewekaMi Nadhani upinzani ulijichanganya sana waliposema Rais anaiga sera za upinzani
baadae wakabadilika tena wakaanza kupinga Maendeleo
Ilaumiwe laana ya Dk Slaa
Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?
Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema
Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao
Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni
Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?
Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?
Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Mbona Kama hii thread imekaa kiupambe Sana.Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?
Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema
Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao
Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni
Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?
Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?
Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Upinzani gani ulioanguka?Upinzani upo imara sana ndo maana hata Wewe unaandika kwa sababu upinzani upoJe kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?
Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema
Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao
Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni
Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?
Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?
Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Upinzani ungekuwa umeanguka watendaji wasingefunga office zao kwenda chooni
Upinzani gani ulioanguka?Upinzani upo imara sana ndo maana hata Wewe unaandika kwa sababu upinzani upo
Kimtazamo Kwa sababu mifumo mibovu haijaisha basi upinzani kamwe hautoisha hata kikibaki chama kimoja.Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?
Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema
Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao
Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni
Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?
Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?
Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,
Mbona Kama hii thread imekaa kiupambe Sana.
ok by the way ngoja waje wahusika wakupe majibu Sisi wapiga kura Tuendelee kusubiri hatima yenu katika siasa.