Anguko la uchumi laja Tanzania

hali si shwari, jana naenda kuchomoa 'chenchi' kadhaa, naambiwa hakuna 'keshi'
mpaka vibanda 'mama' vya uwakala
nikachomoa kidogo kidogo vibanda kadhaa mpaka ikatimia

watakuambia 'vita ya taiwani'
 
Am so sorry,nisamehe bas.Mi mwenyewe mambo taiti balaa,ila naona kulalamika katika taifa hili hakujawahi tusaidia mkuu.Very sor Kamanda
Kulalamika ni mbiu ya kisasa inayoamsha ari katika hadhira ya kimtandao!

Kwani Tunisia na Arab world kwa ujumla iliripukaje?

Kuamsha hisia za umma, huanza na mmoja kuelezea uozo uliopo, ndipo wengine huunga mkono kuiadhibu serikali iliyopo kwa njia ya sanduku la kura au maandamano.
 
Hizi bei za mafuta zinazopanda tofauti na soko la dunia linaenda iangamiza Tanzania.

Mafuta husababisha bei za bidhaa zote kuwa juu sababu mafuta ndio hutumika katika kusafirisha malighafi, bidhaa, kuendesha mitambo.

Ongezeko la bei linaenda muumiza mtumiaji wa mwisho, hivyo ili kujikwamua, mtumiaji wa bidhaa atapunguza idadi ya ununuzi wa bidhaa husika, akipunguza manunuzi maana yake mtengenezaji atakosa pesa za kuendesha kiwanda, hivyo kiwanda kitapunguza wafanyakazi ili kuendana na uhalisia wa soko.

Kiwanda kikipunguza wafanyakazi, maana yake wasio na ajira wataongezeka

Wakiongezeka maana yake manunuzi yatapungua zaidi... Viwanda vitafungwa ili kutoendelea pata hasara..

Je kama nchi tumejipangaje?

Tujadili
Serikali inawajibika kufunga mipaka chakula kisiende nje ya nchi!
 
Hizi bei za mafuta zinazopanda tofauti na soko la dunia linaenda iangamiza Tanzania.

Mafuta husababisha bei za bidhaa zote kuwa juu sababu mafuta ndio hutumika katika kusafirisha malighafi, bidhaa, kuendesha mitambo.

Ongezeko la bei linaenda muumiza mtumiaji wa mwisho, hivyo ili kujikwamua, mtumiaji wa bidhaa atapunguza idadi ya ununuzi wa bidhaa husika, akipunguza manunuzi maana yake mtengenezaji atakosa pesa za kuendesha kiwanda, hivyo kiwanda kitapunguza wafanyakazi ili kuendana na uhalisia wa soko.

Kiwanda kikipunguza wafanyakazi, maana yake wasio na ajira wataongezeka

Wakiongezeka maana yake manunuzi yatapungua zaidi... Viwanda vitafungwa ili kutoendelea pata hasara..

Je, kama nchi tumejipangaje?

Tujadili
Mbona Tayari !
 
Fanyeni kama Sri Lanka
 
Tanzania si kisiwa. Nchi nyingi zimeathirika , hali ya uchumi duniani si nzuri. Serikali yetu imeweka ruzuku kwenye bei ya mafuta lakini haitoshi - inatakiwa iongezwe ili kusaidia watu wa hali ya chini - walitumia kigezo gani kwamba Tsh 200 inatosha kama ruzuku wakati mafuta yanaendelea kupanda bei? Vile vile serikali inatakiwa kubana matumizi - vikao viendeshwe kwa "Zoom ", pesa za kufanyia sherehe zipelekwe kwenye ruzuku ya petroli, pesa za safari za Viongozi na wabunge ziende kwenye ruzuku ya petroli, pesa za warsha na mafunzo ya wafanyakazi serikalini ziende kwenye ruzuku ya petroli, Viongozi wasihamishwe kipindi hiki ili kubana matumizi. pesa yoyote inayobanwa serikalini iende kwenye ruzuku ya petroli.
 
Back
Top Bottom