Anguko la uchumi laja Tanzania

Anguko la uchumi laja Tanzania

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,258
Reaction score
103,420
Hizi bei za mafuta zinazopanda tofauti na soko la dunia linaenda iangamiza Tanzania.

Mafuta husababisha bei za bidhaa zote kuwa juu sababu mafuta ndio hutumika katika kusafirisha malighafi, bidhaa, kuendesha mitambo.

Ongezeko la bei linaenda muumiza mtumiaji wa mwisho, hivyo ili kujikwamua, mtumiaji wa bidhaa atapunguza idadi ya ununuzi wa bidhaa husika, akipunguza manunuzi maana yake mtengenezaji atakosa pesa za kuendesha kiwanda, hivyo kiwanda kitapunguza wafanyakazi ili kuendana na uhalisia wa soko.

Kiwanda kikipunguza wafanyakazi, maana yake wasio na ajira wataongezeka

Wakiongezeka maana yake manunuzi yatapungua zaidi... Viwanda vitafungwa ili kutoendelea pata hasara..

Je, kama nchi tumejipangaje?

Tujadili
 
Aiseee
Au kisa mshahara wako upo kila mwezi?
Am so sorry,nisamehe bas.Mi mwenyewe mambo taiti balaa,ila naona kulalamika katika taifa hili hakujawahi tusaidia mkuu.Very sor Kamanda🙏
 
Back
Top Bottom