Bila kufahamu dunia inakwenda hata kazi unayofanya ni Useless , penda kujifunza na utambue kua matukio katika dunia ndio maisha yenyewe ..Ndo madhara ya kuangalia sana tv na kushinda kwenye mitandao. Fanya kazi kijana London haitakaa ianguke milele.
london has fallen
sana mkuuila movie yake nzuuuuri
Duh...hope uko poa, long time!! kwema lakini?Mkuu kuna miji inapitia hali ya hatari zaidi kuliko London.
Haya ni matukio tu yanakuja na kupita. London itabaki pale pale tu.
Mkuu kuna miji inapitia hali ya hatari zaidi kuliko London.
Haya ni matukio tu yanakuja na kupita. London itabaki pale pale tu.
afrodeeMkuu kuna miji inapitia hali ya hatari zaidi kuliko London.
Haya ni matukio tu yanakuja na kupita.afr London itabaki pale pale tu.