Nani anaanguka?Anguko la kihistoria linakuja kwa kasi sana,ni sawa na mtu aliyeanguka kwa utelezi wa matope ,kila anapojitahidi kujiokoa ndipo anapozidi kupalilia anguko ,ni sawa na anguko hili kadri anavgozidi kurekebisha ndiyo speed ya anguko inaongezeka
Mwenye macho huambiwa tazama,mwenye masikio huambiwa asikieNani anaanguka?
Mungu akupe uzima ,ushuhudie anguko la kihistoria mwaka huu,upende au usitake lazima litokee tuHuwezi kuipangia asili cha kufanya kwa hisia zako tu.
Waulize wenzio wa SDA walitabiri siku ya mwisho nini kilitokea?
Huwezi kuitabiri kesho hata ukiwa special.
Mungu ni nani?Mungu akupe uzima ,ushuhudie anguko la kihistoria mwaka huu,upende au usitake lazima litokee tu
Yameisha mkuu,siku itafika utajioneaMungu ni nani?
Kwanini anipe uzima mimi mzima wakati kuna watu mahututi wanaohitaji msaada wa haraka hivi sasa?
Wewe ni nani mpaka useme nitake nisitake lazima itokee?
Hakuna kitu kama hicho na hakitakuja kutokea sababu huna uwezo wa kujua kesho.Yameisha mkuu,siku itafika utajionea
Imeisha ,tambua anguko lipo na halina budi kutokea na walio katika mfumo huo wametiwa upofuHakuna kitu kama hicho na hakitakuja kutokea sababu huna uwezo wa kujua kesho.
Kama ni hivyo, wewe tayari unajua siku yako ya kufa?
Acha kupotosha watu kwa hisia na ndoto zako binafsi.
Ni zaidi ya hatari,na heri kwa wenye hakiHatari sana
Ngoma inaeleweka mwaka huuNgoma inogile
Hii ni kweli. Pia kibiblia Unabii wowote mzuri unapotaka kutimia mambo huharibika kwanza. Mfano wakati unabii wa kurejea upya kwa wana wa Israeli katika nchi yao ya asili ulipokaribia Waisraeli walikioba cha moto mbele ya Hitla. Hilla hakujua kuwa alikuwa anaharakisha kuundwa kwa Taifa la Israel. Tanzania hivyo hivyo mambo yanapozidi kuwa mabaya ndipo na unabii ulionenwa kuhusu Tanzania unakaribia kutimia.Giza likizid ndo kunakaribia kucha
Anhaa unamaanisha CDM kufanya mapinduzi.Imeisha ,tambua anguko lipo na halina budi kutokea na walio katika mfumo huo wametiwa upofu
Usikaze fuvu,anguko kuu lipo njiani muda si mrefu ,utaliona hizo unazoziona ni rasharasha tu,kaa usikie tarumbeta likiliaAnhaa unamaanisha CDM kufanya mapinduzi.
May be but 35% of 50%
🚮🚮🚮Usikaze fuvu,anguko kuu lipo njiani muda si mrefu ,utaliona hizo unazoziona ni rasharasha tu,kaa usikie tarumbeta likilia
Just wait🚮🚮🚮