Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,241
- 1,472
This generation needs people who are capable of living words which they are articulating in public ujue recently watanzania na wanasiasa wengi wanitumia siasa ya those days,those days ilikua if you are capable of winning public mind even ahat bila kutekeleza usemacho things were fine but these days watu wamefunguka,january ana uwezo but he is working in a polluted systerm And so he is pollted too,me honestly i love the guy plus nape na surel am telling you my colleages that siku wakitoka mule ndani you will see how fantastic are those two guys
Acts 13:36 For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed
Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.
Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.
Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.
Kwa muda January Makamba aliweza kungara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli zilizoenda shule peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.
Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.
Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya unafiki inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:
"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"
Mpaka leo sijasikia chochote toka kwa January kuhusu njia mbadala (tofauti na njia aliyopendekeza Zitto Kabwe) ya kuleta uwajibikaji serikalini. Kwa mantiki hiyo, hiyo kauli yake hapo juu ilikuwa ni jitihada tu ya kuzima zengwe na jinamizi la kisiasa linalomkabili.
What a waste.
hatuwezi wote kuwa na mawazo sawa, hoja ya zito ilijawa na jazba zaidi badala ya busara na hekima, haikuwa na uthabiti, bali ni hoja ya chama hata tukipinga kwamba haikua ya chadema .
maslahi binafsi pia yalitawala malumbano na shutuma kila mtu aliweka maslahi yake sio ya taifa kuna pande zilikua na interest katika viwanja vya CHC , WAMO WABUNGE na wawafanya biashara na mawaziri, wabunge hao pia ni wa upinzani, wapo wenye interest na upanuzu wa bandari, wamo wabunge na mawariri , huu ndio ukweli, kila mtu anatetea upande wake wenye maslahi yake,....siisi tunapigishw kelele tu ndio maana mwenye akili ya kufikiri alikaa kimya ..hata wapinzani nao pia hawakusaini wote, upinzani una wabunge zaidi ya 87 lakini zito alipata tabu sana kutimiza idadi ya wabunge 70, hii ...na kusaini wabunge chini ya 5 tu wa CCM inaonesha hoja haikua ya msingi ilikua ya kisiasa zaidi..wengine hawa wamedandia
Acts 13:36 For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed
Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.
Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.
Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.
Kwa muda January Makamba aliweza kungara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli zilizoenda shule peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.
Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.
Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya unafiki inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:
"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"
Jamuary Makamba is left by Zito by an interval of 100 spaces interms of intelligence,integrity,accountability and realism.KIJANA AMEPOTEA,HANA MVUTO,AMEPWAYA,ANABOA,ANA UNAFIKI,ANA DHARAU,ANATAKA MADARAKA,ANAJIKWEZA,ANAJIONA,ANATAMAA,ANAUCHOYO.
ni rahisi kupiga makelele kama uko opposition but once ur in power its difficult ndio maana mnaona makamba haweza sema much coz chama chake kiko in power. Do u remember david cameron leader of the opposition in uk few years back, he used to talk lots of trash but once he got in power things changed....there things that you just cant do as a party in power mtake msitake....
Mimi sijawahi kumweka kwenye list ya viongozi watarajiwa wa nchi hii
ni rahisi kupiga makelele kama uko opposition but once ur in power its difficult ndio maana mnaona makamba haweza sema much coz chama chake kiko in power. Do u remember david cameron leader of the opposition in uk few years back, he used to talk lots of trash but once he got in power things changed....there things that you just cant do as a party in power mtake msitake....
Is January in Power?
JM peke yake kwa sababu alitupa tumaini kwamba anaweza kuibadilisha ccm ikawa kipenzi cha watanzaniaMazingira kitu gani? Simtetei mtu wala simpingi mtu hapa. Hayo hayo mazingira?ya Makamba angewekwa mtu hapa angeanza kujinyea the same. Zitto yuko huru kwa kuwa yupo upande wa kukosoa. Hivi cdm ndio ingekuwa madarakan halafu ikawa inaborongai mnadhani haya makeke ya Zitto mngeyasikia? Mnadhani Makamba angechukua uamuzi sawa na Zitto? Sitaki kuamini kuwa JM hana uzalendo. Halafu kwa nini JM peke yake? Lazima mjiulize maswali kwanza kabla ya kuanza kuhukumu.
Bado JM ni kiongozi mzuri pale atakapopata mfumo mzuri. Anaweza kutofautiana na Zitto kwenye njia ya kufikia suluhu lakini wakawa na nia moja ya kufikia suluhu. Hii inadhihirisha kuwa hakuna njia moja ya kufikia suluhu. Ni jambo rahisi tu kuelewa kuwa si rahisi kiivyo kuanza kukosoa kwa uwazi kama Zitto mfumo uliokulea tangu mtoto hadi kuwa kiongozi ndani ya huo mfumo. Na badala ya kumlaumu mtu mmoja tena kupitia keyboard, tungeinngia mitaani kudhihirisha hili lakini hiyo courage hatuna! So let them disagree on methods but still have a common goal!
huyo kijana anatamani uwaziri nishati na madini mnafiki tu.
Acts 13:36 For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed
Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.
Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.
Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.
Kwa muda January Makamba aliweza kungara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli zilizoenda shule peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.
Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.
Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya unafiki inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:
"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"
Mpaka leo sijasikia chochote toka kwa January kuhusu njia mbadala (tofauti na njia aliyopendekeza Zitto Kabwe) ya kuleta uwajibikaji serikalini. Kwa mantiki hiyo, hiyo kauli yake hapo juu ilikuwa ni jitihada tu ya kuzima zengwe na jinamizi la kisiasa linalomkabili.
What a waste.
ni rahisi kupiga makelele kama uko opposition but once ur in power its difficult ndio maana mnaona makamba haweza sema much coz chama chake kiko in power. Do u remember david cameron leader of the opposition in uk few years back, he used to talk lots of trash but once he got in power things changed....there things that you just cant do as a party in power mtake msitake....
What about Edward Moringe Sokoine in power. Was he the case.