Anguko la Dola ya Urusi li karibu

Anguko la Dola ya Urusi li karibu

Russia akasema yeyote atakaye pitisha meli red sea atakiona

USA akajitoa Mara moja kupeleka meli RED SEA

NYIE MATAGA MNASEMA ETI VITA NI UCHUMI ....NAN KAWADANGANYA VITA NI TECKONOLOGIA AMBAYO INA KUWA SUPPORTED NA UCHUMI BUT SIO LAZIMA UWE NA UCHUMI MKUBWA
MFANO ;
GERMANY ANAONGOZA KWA UCHUMI ULAYA NZIMA LKN .....UBORA KIJESHI NI CHA MTOTO KWA RUSSIA

ACHEN UMATAGA
 
Ugomvi wa russia na Ukreini ushaanza hapa jf. Maana mnarushiana makombora balaa.

Fact. Hakuna vita itakayopiganwa kati ya russia na ukraine the same kwa NATO/USA vs Russia.

Kwa nini. Bila kijali nani ana badget kubwa na uchumi imara, hizi ni nchi zinazomiliki silaha za nyuklia. Kama kuna mmoja akiamua kuzitumia basi madhara yake ni makubwa kuliko faida au malengo yaliyotarajiwa. Ukraine nao wanazimiliki silaha hizo, ni wanufaika wa iliyokuwa USSR.

Tuendelee kupigana kwenye keybord zetu kati ya weat na east
 
hahahahaha wewe kweli bado bwana mdogo sn kwenye haya masuala ...yaani kirahisi tu hivyo russia mwisho wake uwe hivyo!!!

wewe kwa akili yko unadhani hajajipanga juu ya hilo?!!!...kwamba wewe una akili kubwa kuliko putin...jiulize russia ya miaka ya 90 ndio russia ya leo!!...

putin ameiheshimisha sana russia ,ameoitoa ambako ilikuwa imeshafilisika vby mno eti leo ashindwe kirahisi namna hiyo

kama kionjo kidogo tu russia imetuonyesha kule syria kwa kuichapa vby marekani na washirika wake wa ulaya mpk kukimbia na kunyoosha mikono juu .... leo hii assad anatunda tu ...sasa hao unaotuaminisha kuwa wataichapa russia huo mtihani mdogo tu wa huko syria wameushindwa je mtihani wa russia watauweza kweli?!!!!
 
The way you narate it, its like you will be in the batle ground. Nothing like that will happen. Being strong economically, isn't the only determinant that you will win, but rather lots of factors should be considered when it comes to war.
Not only the US is better economically but also is good militarily
 
Not only the US is better economically but also is good militarily


Grammatical mistake. It supposed to be: "Not only is the Us better economically but---------".

Coming to the topic, The US is indeed economically giant and has more military facilities and weapons than any other country in the world, in contrary, Russia has fewer but SOPHISTICATED/ advanced military facilities and weapons than any other country.
 
Only time will tell, lakini Putin akipita na Crimea basi ujue kashaachiwa njia ya kufanya atakavyo.
Hakuna wakumzuia RUSSIA mkuu kama walishindwa kwa CRIMEA unadhani wanaweza wakaweza huko kwengine?!
 
Ni kweli mkuu, Russia ina nguvu kubwa mno za kijeshi kuliko Taifa lolote Ulaya, Tatizo ni kwamba haina Uchumi imara,na vita inahitaji Uchumi Bora ili ushinde,kwa hiyo Wakimchangia watampiga Tu na kumshinda ila itakuwa Vita mbaya mno
Ingekua UCHUMI imara ndio kesi yamsingi kama unavyotaka kutuaminisha hapa leo hiii tusingekua tunashuhudia vita ama mapigano baina ya SAUDI ARABIA + COALITION yao ioe wakipigina na HOUTHI mwaka wangapi huuu?!
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...

nkufunze kitu, urusi biashara yao ni vita na ndo wauzaji wazuri wa silaha! if ikitokea serious war kati ya marekani na urusi, within 1 month marekani itakua hoi, na vita ndo inaosababisha uchumi kuporomoka!

- ni dhahiri hujui nguvu ya urusi vizuri wacha nkupe some few stats
@1> marekani inategemea urusi kwa asilimia 80% katika matengenezo ya rocket zake pamoja na makombora ya masafa marefu

@2> Incase russia na marekani watapigana vita basi ujue sio russia peke yake watapigana, ndan kutakua na mpaka wachina! ni sawa sawa na vikosi vya ugaidi hujui supply yao inatoka wap

@3> usa ni mtegemezi mkubwa wa israel katika mambo ya intelijensia, mpaka naongea sasahv mahusiano yao yameshaharibika na wameamua kugeuza support kwa pakistan

ivi vitatu vinatosha kukupa mwanga hio vita itakuaje
 
US na NATO sio wa kuwategemea kuingia vita na Urusi eti kwasbabu ya kuitetea Ukraine,tegemea Urusi kuwekewa vikwazo na haojamaa lakini kupigana na Urusi hawatamani wala kufikiria.
 
Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.
hapa umepatia kichizi - mchina na hasara wapi na wapi..!!
 
Naona comments nyingi zinampa sifa Putin hapa ila anaweza pigwa tu kama watu wakiamua...I mean ikiamuliwa sasa apigwe huyu umbwa,atapigwa tu..Kwa sababu watakaompiga hawataenda kumpiga bila kujua ubora na udhaifu wake

Naona wengi hap mna analyse ubora wa kijeshi wa Russia lkn US na mataifa mengine wanajua hayo tena zaidi,lkn ktk kujua hayo pia naamini wanajua wapi Russia ni dhaifu isipokuwa swala la vita hata kama utashinda lazma kuna utakachopoteza..sasa hawa akina US labda wanawazia kile watakachopoteza ktk hiyo vita japo wanaweza kumshinda..

Na kwa maoni yangu naona mambo anayoyafanya Putin na Russia yake kwa miaka hii ni dhahiri kabisa wao hata ikitokea vita na wakashindwa hawana cha kupoteza they're always ready to start from the bottom, they're stubborn,
they're just make headlines to mke Russia feared,famous and talked, they used to be in trouble tofauti na watu wa ulaya na America wanaopenda kula bata...nahisi kiwango cha furaha cha watu Putin hakitofautiani sana na sisi huku..
 
Naona comments nyingi zinampa sifa Putin hapa ila anaweza pigwa tu kama watu wakiamua...I mean ikiamuliwa sasa apigwe huyu umbwa,atapigwa tu..Kwa sababu watakaompiga hawataenda kumpiga bila kujua ubora na udhaifu wake

Naona wengi hap mna analyse ubora wa kijeshi wa Russia lkn US na mataifa mengine wanajua hayo tena zaidi,lkn ktk kujua hayo pia naamini wanajua wapi Russia ni dhaifu isipokuwa swala la vita hata kama utashinda lazma kuna utakachopoteza..sasa hawa akina US labda wanawazia kile watakachopoteza ktk hiyo vita japo wanaweza kumshinda..

Na kwa maoni yangu naona mambo anayoyafanya Putin na Russia yake kwa miaka hii ni dhahiri kabisa wao hata ikitokea vita na wakashindwa hawana cha kupoteza they're always ready to start from the bottom, they're stubborn,
they're just make headlines to mke Russia feared,famous and talked, they used to be in trouble tofauti na watu wa ulaya na America wanaopenda kula bata...nahisi kiwango cha furaha cha watu Putin hakitofautiani sana na sisi huku..
Kukitokea vita kati ya Urusi vs Marekan+ Nato basi jua binadamu tutakuwa tumebakiza sayari 8 kati ya sayari 9 zilizopo
 
Back
Top Bottom