Anguko la Dola ya Urusi li karibu

Anguko la Dola ya Urusi li karibu

Mawazo ya movie!
Hakuna vita yoyote itakayotokea baina ya mataifa hayo mawili (Russia vs USA)
Nasisitiza tena USITEGEMEE KUSHUHUDIA VITA KATI YA RUSSIA NA USA.
Ajikumbushe 'allied' na 'axis' union, vita vya kwanza na pili vya dunia. Na wakati huo bado more advanced, sophisticated military capabilities hazikuwepo ila "mother of all bombs" (MOAB) ilikuwepo kwa Mmarekani, aliyomwadhibu Japan nayo, je sahi tuko 21st century, kuna vifaa gani vimeundwa?
So, sioni vita hapo. Hata wao wanajua ni hatari wakivifanya! 🤣
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...
Bila Shaka unamaanisha Urusi ya Gongo la mboto, ila ile ya Moscow haiwezi anguka vitani halafu mmarekani akabaki
 
Alisikika mlevi mmoja aliyezinduka toka ndotoni
 
Ila huyu mwamba ni bora aache ubabe. Putin analeta sera za Nazi maana walianza kuivamia Poland watu wako kimya wakaendelea mpaka ufaransa ndo dunia inashtuka huyo mwamba ardof anataka kutawala dunia.Hata huyu Putin wakimwacha na huo ubabe wake mimavi wa kuvamia nchi wanamwacha tu atajiona anaweza atataka kutawala dunia.Watu kama hao ni kuwazuia mapema japo Rusia wako vizuri kivita.
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...
Warusi ndo waliikomboa Dunia vita kuu ya pili ya Dunia.

In fact hapana vita ya Urusi alowah kupoteza.

Kinachofanywa na NATO ni kumsogelea karibu Mrusi kijeshi, na Mrusi anaona ilo nijambo linalohatarisha.

Kama unataka uone Kitakachompata Ukraine, NATO ijichanganye ianze mchakato wa kumpa Uanachama[emoji23]

Kwan nchi ya Georgia ilikuaje ????? Mbona ilipigwa na NATO ipo?

Eneo lote la Donbas nchin Ukraine , litabebwa na kua la Urusi kama Ukraine itapuuzilia Mashart ya Urusi.
 
Huu uzi ni hopeless. Mtoa mada sijui unalipwa shilingi ngapi kupiga propaganda za marekani hapa nchini.

Acha nikwambie kitu! WE DON'T CARE! majority hapa hat kesho hatujui tutakula nini halafu unatuletea porojo za URUSI vs MAREKANI. Hebu tuacheni!
 
Burundi kufanya nini mkuu, hiyo issue, AU ndio inafaa ishughulikie, not them. Wao wafanye yao huko jangwani hayatuhusu lakini mtu yeyote yule hafai kunyanyasa mwenzake sababu ako sawa kijeshi na kiuchumi. Na ndivyo wanavyofanya Urusi sahi, this is 21st century, ka mtu atakubaliwa ku colonize jirani namna hiyo si basi mtu mwingine atajaribu pia, na hapo sasa ndio vita huanza.
Then inshu ya libya ni kwanini isishughulikiww na AU?

Inshu ya afghanistan kwanini isishughulikiwe na Central Asia?
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...
Haitaji kwenda mpaka kwa mganga kujua we ni timu gani.mapenzi uliyonayo zidi Marekani ayajifichi
 
Hivi vita vya nyuklia unavifahamu au unaropoka tu mkuu, .?

Hakuna wa kuingia vitani na Urusi, NATO na USA watapiga kelele lakini Putin Jimbo anachukua kama ilivyokuwa Crimea na hakuna wa kumfanya kitu.
Bro Umeongea wanafikiri Urusi ni ile ya zamani ilikuwa soviet union na sasa ni Russia unafikiri Rais Putin kama hajajipanga ataingia tu kwenye vita huyo America na hao Nato wako wanataka kumuonyesha Ukrania kama sisi tuko pamoja na nyie lkn naona kama ni wanafik tu huyi dogo njanja Hizbullah wanawawatosha ukinambia ndio mwisho wa america nitaamini lkn sio russia .
 
Tena Hakuna watu wabaya kama western country wasikie hivyo hivyo wanachokisema mbele yako sicho kilichokuwa nyooni mwao wamezidamirisha nchi ya Iraq ,Libya na syria zimerudi nyuma sana lkn mm naona taifa la marekani lipo hatarini zaidi kuanguka kuliko nchi nyengine na hawa ukraina wamekalia kuti bovu la nato litakatika any time .
 
Unajua kuwa ulaya nzima hamna wamkumtisha Urusi kwenye maswala ya kijeshi???..
Ni kweli mkuu, Russia ina nguvu kubwa mno za kijeshi kuliko Taifa lolote Ulaya, Tatizo ni kwamba haina Uchumi imara,na vita inahitaji Uchumi Bora ili ushinde,kwa hiyo Wakimchangia watampiga Tu na kumshinda ila itakuwa Vita mbaya mno
 
Then inshu ya libya ni kwanini isishughulikiww na AU?

Inshu ya afghanistan kwanini isishughulikiwe na Central Asia?
Hao jamaa wa Afghanistan, walijitakia wenyewe, ma terrorist wengi wanaosumbua duniani kambi zao kuu ziko kule, na serikali za huko wanashindwa kuwadhibiti sababu moja;vifaa vya kivita wako navyo hafifu, pili, kuna collaboraters kwa serikali wanaojihusisha na vikundi hivyo, na beberu anajua, ndio maana akaamua kuwafuata huko kwao.
Haya, hawa Libya nayo, walijitakia. Walimruhusu beberu aingie kuwasaidia kumbe yeye ana agenda zake zingine. Hii kitu ingeshughulikiwa na AU, sahi Gaddafi angekuwa hai, exile hata kama angetolewa kuwa rais. Lakini sisi Waafrika, kwa kupenda msaada, tunawaita wale, wanakuja kuharibu wanarudi kwao. Angalia Syria sahi, ni kama playground ya Urusi na vifaa vyake kule, ana m'support Assad.
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...
The way you narate it, its like you will be in the batle ground. Nothing like that will happen. Being strong economically, isn't the only determinant that you will win, but rather lots of factors should be considered when it comes to war.
 
Mbona unaongea Kama mtabiri bila kuweka ditels
 
Back
Top Bottom