Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,369
- 14,957
Nataman waliwashe
Huo ni utoto.
Huko kuna wazee, watoto, akina mama, Wagonjwa nk, vita isikie kwa mwenzako.
Nataman waliwashe
Hahahah 1xbet ikizingua wahuni wameishaWaache upumbavu wao wa kupigana vita ,wengine maisha yetu tunategemea betting wakitwangana tutapoteana mtaani uku
Itakuwa Vita mbaya mno,ila at the end Russia itapigwa tu
[emoji23][emoji23] anadhani ni games hizi....idiotWazee wa kupiganisha nchi na mataifa kama Mortal Kombat
Nina wasi wasi kama hata ana passport...Umeshiba futari na uji wa pilipili manga unakuja kusema anguko la URUSI sizani atakama pikipiki ushawahi kupanda kutoka Dar mpaka morogogo
Kuna nchi roho na haitosheki na ilicho nacho kama US??Putin ametoa onyo leo ati ataadhibu mtu yeyote atakaye pita "Red line" yake na nchi yake ilhali hakusema red line yenyewe ndio ipi. Kitu hakijui yule Putin ni anajizingua mwenyewe, hakuna taifa litakaa kumwangalia akidhalilisha nchi nyingine ndogo na kutaka kuinyakua kwa lazma, haiwezekani. Huo ni ukoloni uliopitwa na wakati, akae kivyake na wale jamaa awaache walivyo, tayari wana serikali na sheria zao na mali zao, ya nini kuwadhulumu haki yao ya uhuru.
Sasa hapo ndipo nchi kama Marekani, Israel, France, Germany, Turkey UK nk.. wanapoingilia kati juu wanaona huyu jomba akiendelea hivi si basi atakuwa 'mwizi' anayeogopewa kwa kutumia maguvu.
Naomba sana huyo jamaa afikirie kiasi aache ufala anaotaka kufanyia binadamu wengine, atosheke na alicho nacho, la sivyo, ka si watu kumwondoa hapo, hata Mungu yupo na anaona.
wakat anasepa na crimea hao watu hawakuwepo ? don baas nisuala la muda tu atapita napo kama alipopita na crimea nahawatamfanya kitu nahamtasema jambo zaidi yakupiga piga kelele tuuu.....Putin ametoa onyo leo ati ataadhibu mtu yeyote atakaye pita "Red line" yake na nchi yake ilhali hakusema red line yenyewe ndio ipi. Kitu hakijui yule Putin ni anajizingua mwenyewe, hakuna taifa litakaa kumwangalia akidhalilisha nchi nyingine ndogo na kutaka kuinyakua kwa lazma, haiwezekani. Huo ni ukoloni uliopitwa na wakati, akae kivyake na wale jamaa awaache walivyo, tayari wana serikali na sheria zao na mali zao, ya nini kuwadhulumu haki yao ya uhuru.
Sasa hapo ndipo nchi kama Marekani, Israel, France, Germany, Turkey UK nk.. wanapoingilia kati juu wanaona huyu jomba akiendelea hivi si basi atakuwa 'mwizi' anayeogopewa kwa kutumia maguvu.
Naomba sana huyo jamaa afikirie kiasi aache ufala anaotaka kufanyia binadamu wengine, atosheke na alicho nacho, la sivyo, ka si watu kumwondoa hapo, hata Mungu yupo na anaona.
Burundi kufanya nini mkuu, hiyo issue, AU ndio inafaa ishughulikie, not them. Wao wafanye yao huko jangwani hayatuhusu lakini mtu yeyote yule hafai kunyanyasa mwenzake sababu ako sawa kijeshi na kiuchumi. Na ndivyo wanavyofanya Urusi sahi, this is 21st century, ka mtu atakubaliwa ku colonize jirani namna hiyo si basi mtu mwingine atajaribu pia, na hapo sasa ndio vita huanza.Kuna nchi roho na haitosheki na ilicho nacho kama US??
Kokote pale kwny mafuta/gas lazima umkute keshajipeleka kuvamia eti anapeleka demokrasia.
Cha ajabu hio demokrasia yake haipeleki kwny nchi choka mbovu kama Burundi.
Only time will tell, lakini Putin akipita na Crimea basi ujue kashaachiwa njia ya kufanya atakavyo.wakat anasepa na crimea hao watu hawakuwepo ? don baas nisuala la muda tu atapita napo kama alipopita na crimea nahawatamfanya kitu nahamtasema jambo zaidi yakupiga piga kelele tuuu.....
wee unafikiri nuclear ikipigwa utapona pimbi wewe?Wapigane tu wasituchoshe kwakweli
Itatudhuru hata sisi tulio mbali, yaweza isiwe directly but the after effects zake tutazipata for generations & generations. Just imagine Japan sijui, ile tsunami ilivyoharibu reactor plants za nuclear energy plants zao, hadi wa leo eneo kubwa lililo karibu na hicho kiwanda hakukai binadamu yeyote wala mnyama, venye radiation iko bado. Yaani hatari kwa usalama wa kiafya. Noma sana vile vifaa.wee unafikiri nuclear ikipigwa utapona pimbi wewe?
Unao ushahidi wa kututhibitishia kua ulijua?Wewe ulijua Magufuli mliyemwabudu atakufa lini? Mimi nilijua kabisa kuwa endapo Magufuli hataacha njia zake mbaya,na asipotubu ukatili wake dhidi ya Watanzania basi asingefika 2025.
Haya sema tena wewe unayejua siku inaishaje...
Mawazo ya movie!Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.
Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.
Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.
Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.
Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.
Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.
Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.
Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.
Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.
Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.
Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.
Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.
Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.
Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.
Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.
Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.
Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.
Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.
Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.
NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...