Anguko la Dola ya Urusi li karibu

Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...

Kumbuka defensive systems za Russia ni the best, hata kama Russia itapigwa lakini wapigaji chamoto Watakiona.
 
Ukraine ni member wa NATO?
 
Kwa hali ilivyo sasa ni lazima Ukraine iwe annexed kama crimea,hii ndio njia pekee iliyorahisi kwa Russia kuulinda uchumi wake
 
Unaijua Vita ya nuclear? Zikisha pigwa nuclear baada ya vita hakutakuwa na maisha tena, Vita ya anuclear ndo utakuwa mwisho wa Human civilization mkuu, nuclear tuisikie tu,
 
Usilete story za World war two, hii ya sasa itakuwa balaa, na kumbuka Urusi na hata hao Marekani wana Silaha za kuripua hata Satelait, usishangae vita ikianza hata Internet inazimwa Dunia nzima,
 
Nchi za kibabe Kama Murusi,N Korea,Irun,Hazifai kuzisifia kabisa maana zime fanya dunia kuwa mahali pa kuogofya badala ya utulivu na amani.
 
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara.

Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno.

Urusi chini ya Putin imekuwa haitumii akili za kuzaliwa ktk kujitanua kiuchumi bali inaamini ktk matumizi ya nguvu na ubabe.

Urusi inajiandaa kuivamia Ukraine kijeshi lakini inasita kuchukua hatua hizo baada ya Uturuki mshirika mkubwa wa Urusi kwa miaka mingi kuiruhusu Marekani kupitisha silaha zake na wanajeshi ili kuilinda Ukraine.

Pro -Russia wanaamini kuwa Russia itashinda vita dhidi ya Marekani na NATO, wanajidanganya sana.

Russia ina uwezo wa kuichapa Ukraine kwa masaa kadhaa na ikashinda vita,lakini haitakuwa hivyo.

Russia wakiivamia Ukraine itakuwa Tofauti kabisa na jinsi walivyoichukua Cremea, Pro-Russia wanaamini hakuna Taifa Duniani la kuishinda Russia, yaani hawataki hata kusumbua bongo zao kufikiria.

Tabia za Putin hazina Tofauti na Hitler,huwezi kuvamia Taifa jirani na kupora ardhi yake kwa nguvu, baada ya kuipora Cremea,Putin kazoea,anadhani anaweza kufanya lolote tena juu ya Ukraine na bado Dunia ikamwangalia tu.

Safari hii wamempania,hawamwogopi kabisa.

Endapo Urusi itaivamia Ukraine safari hii Marekani na NATO hawatavumilia ,wataingia kijeshi kuilinda Ukraine.

Russia nao watachachamaa,hii si vita ya kuiombea itokee , MUNGU atuepushe kwa sababu Uchumi wa Dunia utaanguka.

Itakuwa ni vita mbaya mno, Moscow itapigwa kwa makombora,miji mingi ya Marekani pia itapigwa makombora.

Mwisho wa hii vita , Urusi itaishiwa nguvu za kupigana kwa sababu haina nguvu za kiuchumi kama Marekani.

Kwa hiyo kwa hasira ya Russia itaamua kupiga nuclear, hapo ndo itakuwa kosa kubwa kuwahi kutokea.

Kwanza Pro Russia lazima mjue kuwa China haitaisaidia Urusi kupigana hii vita kwa sababu China ni waoga sana wa kufikilisika,China haipo tayari kuona Uchumi wake ilioujenga kwa jasho na Damu ukianguka.

Kwa hiyo vitani Urusi atakuwa na kina Iran,North Korea, Venezuela na mataifa mengine dhaifu.

Wakati Marekani atakuwa akiungwa mkono na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi kama,UK,Canada,France,bila kumsahau dogo janja Israel.

Kwa hiyo Russia wakitumia nuclear nao watapigwa nuclear kutoka kila pande za Dunia.

Hii itakuwa Vita ya Tatu ya Dunia,kila vita kubwa ilianza ikiwa vita ndogo, small flame creates biggest flames.

Hapo ndo itakuwa mwisho wa enzi wa Dola la Urusi,na Marekani atabaki kinara.

NB:Makala ijayo nitaandika kwanini Marekani haianguki kiuchumi na bado inaendelea kuwa Taifa kubwa kwa miongo yote hii...
Mkuu binafsi sijaona evidence muhimu za kufunga mkono mtazamo wako
 
Hizi zote ni porojo
 
Back
Top Bottom