chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,186
- 25,433
Mbona kila mtu anamponda mtoa mada hayo ni maoni yake. Mpinge kwa hoja sio kutoa maneno kwa kukurupuka.
Ndilo hili lililokufanya ujiunge jf!?Join Date : 27th January 2015
Location : Dar es salaam
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given
0
Dah! yaani umejiunga jana tu, leo umeanza kutia unafiki na umbea! Mmmmmmmmmm! ndugu yangu. kwetu kule Iringa Mwagito ni Kijana wa kiume, sasa kwa huu umbea, naogopa hata kusalimiana na wewe kikwetu! Lazima utakuwa una mume!Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
badala yake huu uzembe unawapa nafasi vijana kama Wiista ( https://www.youtube.com/watch?v=JTzhUrRuKHo ) Yamoyo Band ( https://www.youtube.com/watch?v=k7uMsGcNqmA )kuja kwa kasi ya ajabu na labda braza kaka asipokaa sawa..............
uko hivi badala ya kufanya mambo yako unakaa kufuatilia mambo ya wengine huku ukifurahi kushuka kimafanikio kwao na vice versa.
Kumchukia mtu aliyefanikiwa hakukuondolei wala kukupunguzia umasikini wako...bali utayaona mafanikio yako endapo utaamua kuacha kufuatatilia mambo ya watu ambao hawana tija kwenye maisha yako na kuanza kufanya kazi kwa bidii kubwa kwani huo MUDA unaoupoteza kumjadili mwenzio anajenga maisha yake ili aje kuishi kwenye ndoto zake...AMKA KIJANA.........
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
badala yake huu uzembe unawapa nafasi vijana kama Wiista ( https://www.youtube.com/watch?v=JTzhUrRuKHo ) Yamoyo Band ( https://www.youtube.com/watch?v=k7uMsGcNqmA )kuja kwa kasi ya ajabu na labda braza kaka asipokaa sawa..............
Badala ya kumchukia na kujaribu kuyashusha mafanikio ya Mtanzania mwenzenu kwanini msijaribu kukaa na kuangalia wengine watafika vipi huko alikofika Diamond..? Maana ninavyosoma posts & comments hapa JF inaonyesha kama kuna kampeni ya kujaribu kumshusha Diamond bila ya sababu za msingi.. Japo sio mpenzi sana wa nyimbo za vijana lakini Diamond amenivutia na juhudi zake za kufika hapo alipofika..
Diamond atalinganishwa na Ali Kiba na sio vinginevyo. Utasubiri sana kuona anguko la huyu kijana Diamond. Kwanza kama walivyosema waliotangulia wewe umejiunga jf. jana kwa ajili ya kupost uzi huu wa wivu na utambue unatumika vibaya.
Ndilo hili lililokufanya ujiunge jf!?
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
badala yake huu uzembe unawapa nafasi vijana kama Wiista ( https://www.youtube.com/watch?v=JTzhUrRuKHo ) Yamoyo Band ( https://www.youtube.com/watch?v=k7uMsGcNqmA )kuja kwa kasi ya ajabu na labda braza kaka asipokaa sawa..............
Ndilo hili lililokufanya ujiunge jf!?
Kila kitu kina mwanzo,hata mbuyu ulianza kama mchicha
unachokisema ni kweli,hata ukiangalia trend yake kwenye media imepungua.kwa mfano,blog ya bongo5 ambayo ilikuwa inatupia hadi 3 post za diamond kwa siku,imeonekana zimeshuka na kuanzia wiki iliyopita wamepost post kama mbili tu,ile ya kiboko yao concert,na kile kilichotokea kiboko yao concert kuhusu hirizi walizozikuta pale kwenye concert.pia blog za nigeria ambazo zilikuwa zinapost post nyingi za diamond,katika wiki hii hawajapost kitu zaidi ya kile walichodai kuwa jamaa ka realis ngoma mpya ya KAMWAMBIE kumbe sio.blog moja tu ya ghana ilipost post ya diamond katika wiki nzima.uganda,wamepost moja tu ile ya UMAARUFU WA ZARI UMEONGEZEKA MARA TATU BAADA YA KUWA NA DIAMOND na hiyo post iliweza kuwa posted na baadhi ya blog nchini kenya.ukija south afrika,hakuna blog hata moja waliopost post ya diamond.nje ya afrika ni TRACE TV pekee yake ndio waliogusia ishu ya diamond baada kuiweka nyimbo ya NTAMPATA WAPI katika 10 best videos from afrika.ukweli umaarufu wake umedrop katika wiki iliyoisha na hii inayoendelea
Yaani kajiunga jf na post ya kwanza diamond