Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

ma akili zako kabla ujapost ni lini Zito ametoa hiyo kauli tatizo ccm mnahitaji shule
 

Nashindwa kuamini kuwa mpaka sasa wapo bado watu wenye akili fupi kama zako. Endelea kuuchapa usingizi kwani naogopa kukuamsha nisije nikalala mimi!!!
 
Magamba at work! Mtasema sana but kwa hii political tsunam ccm ipo matatani.
 
Namba unayopiga kwa sasa haipatikani, jaribu namba nyingine.
 
WanaJF wakati mwingine tusiwe tunapoteza muda kwa thread ambazo sio za great thinkers, hata ukisoma kichwa cha thread na kilichoandikwa ni kama mlevi anoropkea walevi wenzake. Huyo alitaka Mdee na Tundu waende mbele kutoa hoja wakati walishapendekeza wenyeivit wakati wa kufanya majumuisho watoe pendekezo hilo na ndivyo alivyofanya Zito kama mwenyekiti wa kamati.
 
u use ur balls instead of ur brain to reason! Anguko la CDM amid of CCM disintegration members and leaders parting the party and u still dont see that! Where is ur patriotism?
 
hii akili au m<*¢vi? tatizo la kutumia masaburi badala kazi yake stahiki.
 

mbona hili la mwakyembe kunyweshwa sumu na el hujamwambia
 
Huenda mtoa mada ana nia yake, hata hivyo kubwa ni kuwa tunapaswa kuangalia kwa makini, sio utabiri mwema kwa chama kikuu cha upinzani, Ila katika maneno kumi ya ujinga ni vizuri kuangalia ikiwa lipo lenye uzito. Maana yangu ni kuwa inawezekana wanapandikiza, lakini hata katika kupandikiza wahusika wakuu (CDM) waone kuwa nia ya wengi ni kuona tofauti zao zikiwa pembeni, kusudi na nia ya ukombozi kwa Taifa ikiwa ndio ajenda ya msingi, sifa binafsi, kutangulia wengine na yanayofanana na hayo yasipate nafasi kwani itakuwa furaha kwa watenda maovu dhidi ya maskini na wanyonge wengi wa Taifa letu.
 
Jamani mambo mengine ni ya kupuuza wala hayana hadhi ya kujadiliwa humu mtakuwa mnawapa umaarufu hawa wachumia tumbo. Wakati mwingine tujithibiti nafsi zetu tuweke akiba kuchangia mambo ya msingi.
 

Ungekuwa kwetu Shinyanga unge..... Mchawi we.....!!!!
 

SO WHAT? Kaanze upya,kajipange
 
Haya ndio mambo yanayofanya mtukanwe hapa jamvini. Utumbo bila uthibitisho, alinukuliwa wapi na lini akisema hivyo? Nukuu zote zilizoziona anasema hili ni jambo la kitaifa na ni zaidi ya chama. Haya yako ameyasema lini na wapi?

Huyo makupa ndo walewale walio tumwa,the like WABEROYA,TUNTEMEKE,RITZ,REJAO
 
Jina lako MAKUPA ukilisoma nyuma mbele inatosha kukufahamu ulivyo
 
na ndio maana alisema wabunge wa vyama vyote wametia saini isipokuwa wa udp
 
Aiseee umekosa story? sio lazima uanzishe thread unaweza ukasoma za wengine mpaka pale utakapopata news yenye mashiko.I hate Ruby the heart stealer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…