Anguko la CHADEMA lipo njiani

Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.

Hili tumeliona mkuu,,, tumeshachukua hatu.
 
kihoro hichi ... anzisha chama chako ambacho kitakuwa na sera ya kuwa na mianya ya kuruhusu kuvurugwa na ccm ....

hii yote ni hasira ya kushindikana kwa zoezi la kuihujumu CDM na kuivuruga

Sidhani kama cdm ni chama cha watu wenye akili timamu. Ni watu walioshindwa maisha.
 
Unaakili timamu unampa kura mtu aliyelaniwa na mungu hadi kamufukuza upadre kwa uzizi.

na wewe una akili timamu? unampa kura mtu mwenye laana nzito kutoka mbinguni aliyewafunga familia nzima maisha jela eti kisa kugombea hawara tu.anayesimamia wizi wa pesa zetu na raslimali huku akiitukana pesa yetu kwa kuiita madafu,wewe shyland ni zero brain nenda kachunge ng'ombe tu ndo kazi unayoweza huna unalojua.
 
Amini nakuambia nchi hii haitatokea rais kutoka chadema, atakayeitoa madarakani ccm.. ni zitto pekee.
Kwani Zitto yeye ndo mtabiri wa kuwapa moyo ccm itasambaratika vipande vipande wasipompitisha Lowasa kuwa mgombea wa uraisi ndo mwisho utakuwa umefikia hata wakikubali kumpitisha bado Lowasa hataweza kushinda kwa sababu naye ni fisadi kwa njia yoyote lazima ccm ife mwaka huu waliotangaza nia za kugombea uraisi wote wana team zao mwenzao akitoswa ni kuharibiana makundi tayari yameshaiua ccm.
 
una effects gani wewe,, wewe si kuongeza idadi tu! we unafikiri kwanini Shibuda hawajamfukuza?

Wanafiki utawajua tuu mbona Zitto amefukuzwa mmelalamika sana Shibuda yule tunampuuzia tunamjua muda wake kuendelea kuwa mbunge unahesabika.
 
Wanafiki utawajua tuu mbona Zitto amefukuzwa mmelalamika sana Shibuda yule tunampuuzia tunamjua muda wake kuendelea kuwa mbunge unahesabika.

Mmemwogopa Zitto kwasababu angemiliki mali za mzee mtei.... na nyie wachaga ndo mnakula huko.
 
chama cha udini na ukabila ni ccm.
 

Mrs eric mbona sijaona hoja yako hapa.
 
Tulioichgua chadema tunaiona hela inafanya nini, kwa taarifa yako tu wabunge wa chadema na wenyeviti wa vitongoji wametatua kero zilizowashinda wabunge wa ccm na wenyeviti wao kwa miaka zaidi ya 50, tulia tu ukiikibali kweli itakuweka huru.
 
Ungeonesha hiyo ruzuku ni shilingi ngapi, inatumikaje na maeneleo ya CHADEMA yanadidimi (anguka) kivipi. Vinginevyo wengine tunashindwa kuelewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…