Anguko la CHADEMA lipo njiani

Chagada kwisha kabisa,,,

Lema aliapa kuchukua jimbo kalenga matokeo yake mama wa watu hata kura 10,000 alizopata 2010 wakamsababisha zipotee nakuambulia kura 5800
 
hako ni kautafiti au ni njozi mkuu,mimi nilijua mchumi wao kasimamishwa ndo maana matumizi ya chopa tatu jimbo hasi ni kutumia sakosi yao vibaya nawashauri waachane na siasa wakawinde wanyama.
 
Tanzania made many mistakes in economic policy, but the one thing that it did invest in was a sense of national identity and unity.
 
Historia itakuhukumu Ben....

Ni mmoja wa watu muhimu walioshiriki siasa za fitna zilizoimaliza CDM.....

Nawaonea huruma watanzania waliopoteza mda wao kwa ajili yenu....

mtaweweseka sana,cdm ni mwiba mchungu kwa magamba! cdm itaendelea kuwa sauti na tumaini la wanyonge!!!
 
hako ni kautafiti au ni njozi mkuu,mimi nilijua mchumi wao kasimamishwa ndo maana matumizi ya chopa tatu jimbo hasi ni kutumia sakosi yao vibaya nawashauri waachane na siasa wakawinde wanyama.

cdm ikiacha siasa utalipwaje hizo buk 7 ????? mtahangaika sana,lakn cdm ipo na aubirini uchaguzi serikali mitaa ndipo mtajua kama ipo au la!!!! kwa sasa tunakomaa na magamba yanayotaka kuchakachua katiba mpya.
 
Duuu jaman.just wait one day utajua nn walikua wakifanya.
 
mtaweweseka sana,cdm ni mwiba mchungu kwa magamba! cdm itaendelea kuwa sauti na tumaini la wanyonge!!!

Mtaimba sana hizo nyimbo but hazitabadili ukweli....

CDM imeshakufa
 
mtaweweseka sana,cdm ni mwiba mchungu kwa magamba! cdm itaendelea kuwa sauti na tumaini la wanyonge!!!

huo ndio ukweli ila ungozi uchukue muda kujiimarisha kinidhamu kutoka ngazi za chini mpaka juu...
 
Chagada kwisha kabisa,,,

Lema aliapa kuchukua jimbo kalenga matokeo yake mama wa watu hata kura 10,000 alizopata 2010 wakamsababisha zipotee nakuambulia kura 5800

Ujinga wa mawazo kama mzEE wa gombe..
 
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.
tumefika mbali jamani khaa!
 
upeowako wa kawaida wa kuchambua mambo,

chama kitakufa pale tu kitakapoacha kusimamia mambo ya msingi kinachoyaamini na ambayo ni madhumuni ya kuanzishwa kwacho si vinginevyo,

mbona tumezoea hizi ramli mnazopiga kila siku,

cha kushangaza upande wa pili ndo wanazidi kuparaganyika juzi wammemtegeshea mwenzao meno ya tembo kwenye gari ili wamchafue, ashindwe mbio za uraisi,

kwa mtazamo wa akili ya mtu wa kawaida anaweza dhani ni jambo dogo lisilo na madhara lakini kuelekea 2015 kuna mpasuko mkubwa upande wa pili mini usiamini
 
Chagada kwisha kabisa,,,

Lema aliapa kuchukua jimbo kalenga matokeo yake mama wa watu hata kura 10,000 alizopata 2010 wakamsababisha zipotee nakuambulia kura 5800
wanakalenga waliwaona wapuuzi. kama hawawaamini wao wenyewe kulinda kura zao mpaka wawaletee watu toka arusha kwa nini wao wawaamini na kuwapa kura zao? wakashituka wakaona hawa chadema ni changa la macho wakasepa. (many thanks to wana-kalenga)
 
Cdm mpango wa mungu.watanzania tuna imani na cdm.t2015cdm
 
mambo unayosema yanaweza kuwa ya kweli ama ya uongo lakini yatakuwa mazuri kama utakuwa umeyatoa kwa mifano halisi na kwa nia ya kuboresha CHADEMA kama chama kinachoenda kuchukua nchi usiyatoe kama ndugu zangu wa buk 7
kina simiyu yetu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…