Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,422
- 17,886
Jamaa mmoja kajikuta aking'olewa meno mawili kwa kumwita mwenzake CCM.
Ha ha haaaa. Mbavu zangu
Duh!
Jamaa m1 kajikuta aking'olewa meno mawili kwa kumwita mwenzake ccm.
Kuna mwingine huku katolewa roho kwa kumuita mwenzake mfuasi wa mbowe
usicheke. Unajua ilikuwaje? Tulikuwa kijiweni na mgombea wa chadema kwenye nafasi ya kitongoji tukipanga mikakati jinsi ya kuiondoa ccm. Kuna jamaa alikuwa akipinga kila wazo. Ndio huyu bwana akamwambia nenda zako wewe ni ccm.
Likazuka zogo, jamaa akala ngumi meno mawili chini.
CCM = Ebola