lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,375
Kidumu chamausicheke. Unajua ilikuwaje? Tulikuwa kijiweni na mgombea wa chadema kwenye nafasi ya kitongoji tukipanga mikakati jinsi ya kuiondoa ccm. Kuna jamaa alikuwa akipinga kila wazo. Ndio huyu bwana akamwambia nenda zako wewe ni ccm.
Likazuka zogo, jamaa akala ngumi meno mawili chini.