Ang'olewa meno kwa kumwita mwenzake CCM

Ang'olewa meno kwa kumwita mwenzake CCM

nilikuwa na tshirt za njano nimezichoma moto zote, naninatangaza kabisa mtu asithubutu kuniita hilo jina wallahi nikamkata pua yake
 
Hahaaaaa kuna mtoto anapenda aitwe ccm hahaaaa ndo initial za majina yake
 
nilikuwa na tshirt za njano nimezichoma moto zote, naninatangaza kabisa mtu asithubutu kuniita hilo jina wallahi nikamkata pua yake
Mimi gari yangu ilikuwa green imebidi niipeleke kwa body shop ipigwe rangi nyingine dah magamba yanatia kichefu chefu
 
Hahaha, juzi nilipigwa ban kwa kufurahia gamba moja kututoka. Mod. wa siku hizi sijui vipi!

Mkuu hata mimi nilipigwa ban juzi hiyo kwa swala hilo kwa kuwaombea rest in peace jamaa wakijani
 
Ninayo tshirt yangu ya yellow huwa nachukia sana mtu akihusisha nguo yangu na chama hicho cha shetani.


Itunze nzuri sana kwa kupigia mpunga kwenye events za magamba,mie ni nazo tele hata jana gambaz walipita kuhakiki wapiga kura wao tukajiandikisha mie na wife baadaye tukaachwa na teni teni,ndiyo twaitumia kwenye weekend hii,twala biere na mishikaki hapa Oliver Hotel mitaa ya Nera ndani Rock City.Nala CCM nalala CDM.
 
Back
Top Bottom