Angola yatangaza visa viwili vya ugonjwa wa zika.

esitena tetena

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
1,747
1,082
Serikali ya Angola imetangaza visa viwili vya ugonjwa hatari wa zika ambao umeingia nchini humo miezi miwili iliyopita. hayo yametangazwa na waziri wa afya wa nchi hiyo.
chanzo: radio one saa 2 usiku huu.
 
Huyo waziri haogopi kuporomosha uchumi wa nchi yake? Ngoja magu amsikie, teh teh teh
 
Kumbe no serikali huyu wa hapa Tz alikuwa mkurugenzi nani kampa mamlaka ya kutangaza
 
Kwani tz vilikuwepo vingapi ....duuuh yule dr maskin siamin kama kakaa kimya tu
 
Back
Top Bottom