Angola warusha Satellite ya kwanza

haha

hahahaha, kama walimkojoza si bora aliinjoy,,,kuliko wewe unayespread upate hela na sio watoto.

Watoto Njoo Dakar uone family bora mbwa wewe hapa siendelei tafuta uzi wako tukae sawa me nataka ule nanasi toka kwenye friji uinjoy coz siku iz wanaume wa Dar naskia mnapaka rang kucha mnatinda nyuzi sasa kuna Nanasi ntakulisha.
 
mimi si mwanaume wa dar wewe, mimi wa mkoani nakula ugari mwekundu na supu ya sangara, alafu nimetahiriwa bila ganzi. hivyo siku nikipata nafasi nitakutafuta nikudinye kidogo manake naona unawashwa. ila hela sikupi.
 
Kaangalie movie ya Girls Trip. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
-Ghana
- Na sasa Angola
 
Mind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery
Nisiyeegemea upande wowote. Sasa Tanzania tumenunua ndege wengine wanalalamika. Leo unajiuliza kwanini Angola wameweza kurusha Satelite halaf TZ tumeshindwa. Swali, Je, gharama za kuunda Satelite ni sawa na za ndege? kama siyo, je, Tz ingenunua Satelite si watu wangeandamana kabisa coz kipaumbele chetu kwa sasa si Satelite
 
Satelite ya nini? Nani amewapa hiyo technology?
 
Hao ni waliosoma HGL/HKL sasa wanahangaika na siasa na kuivurumisha Nchi wapendavyo. Taaluma zingine zote wameua na sasa wanakula bats tuuu, Satellite kwao ya nini?
 
Rudi juu pale angalian nan alienza huu upuuz hua sijawaicheka na mbwa weusi hawa hata siku 1 nshakula ban kibao hum juu ya hawa watu.

kuwa makini mkuu wanakupunguzia reputation yako
 
Wamerusha kwa kutumia rocket ya mrusi,
ni kawaida sana,hata waisrael mara nyingi wanarusha satelite zao kwa kutumia rocket la mmarekani ama mhindi,
ili uweze kurusha kitu kwenda anga za juu mpaka uwe umemudu technology ya ballistic missile,yale maroket kimfumo yanafanya kazi kama ballistic missile,
so nchi ambazo mara nyingi hawana hiyo tech,au kwa kubana matumizi na kuokoa mda hutumia maroket ya nchi zenye tech hiyo kuweka satelite zao anga za juu
 
Serikali hata ya Marekani haitengenezi yenyewe hizi mitambo kuna makampuni kama Lockheed Martin ndio yanafanya nyie Tizedi hata kuunda kijiko cha ubwabwa Mara Paap Tanesco wamekata umeme
Sijakataa hilo, ila kama inshu ni kununua tu, ni jambo la vipaumbele vya taifa, kwakuwa vinauzwa tu, hata Tz inaweza kuinunua mwakani, wakitaka kiwe kipaumbele chao.

Umesema juu ya makampuni, hata Tz yetu, konyagi hutengenezwa na kampuni, ila ni ya Tanzania.

Ambacho labda hatujaielewa mada kwa mara ya kwanza, kulingana na kichwa chake cha habari, mi nilidhani wanasayansi wa kiangola ktk vyuo ama taasisi zao wamefanikisha hili swala, kama wale wa SUA walivyofanikisha wale panya wateguao mabomu.
 
Wamerusha kwa kutumia rocket ya mrusi,
ni kawaida sana,hata waisrael mara nyingi wanarusha satelite zao kwa kutumia rocket la mmarekani ama mhindi,
ili uweze kurusha kitu kwenda anga za juu mpaka uwe umemudu technology ya ballistic missile,yale maroket kimfumo yanafanya kazi kama ballistic missile,
so nchi ambazo mara nyingi hawana hiyo tech,au kwa kubana matumizi na kuokoa mda hutumia maroket ya nchi zenye tech hiyo kuweka satelite zao anga za juu
 
Wamerusha kwa kutumia rocket ya mrusi,
ni kawaida sana,hata waisrael mara nyingi wanarusha satelite zao kwa kutumia rocket la mmarekani ama mhindi,
ili uweze kurusha kitu kwenda anga za juu mpaka uwe umemudu technology ya ballistic missile,yale maroket kimfumo yanafanya kazi kama ballistic missile,
so nchi ambazo mara nyingi hawana hiyo tech,au kwa kubana matumizi na kuokoa mda hutumia maroket ya nchi zenye tech hiyo kuweka satelite zao anga za juu
 
Mind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery

siyo kipao mbele. hata Angola kuna masikini.
 
Kwahiyo kufanikiwa kwa mtu kununua simu na yale ya mtu kuiunda simu yake ni sawa? Hoja iko hapo, kichwa cha habari kingetanabaisha hivyo.
 
Ukitaka kuona watu walivyo na wivu na husda na mtu mwenye mafanikio,leta mada kama hii kwa watanzania
Hapana, labda kwakuwa huzijui sera zilizowakuza watz... Ujamaa na Kujitegemea. Ndio maana miaka ya themanini, Nyumbu ilifanikiwa kutuletea gari letu, fahari ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…