christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,467
Kweli kuwa shabiki WA ccm ni zaidi ya laana....Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
Kuwa na vita hsimaanishi nchi haiendelei uchumi WA nchi hauna correlation na miaka ya Uhuru WA nchi husikaMind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery
Hivi nyie watu akili huwa mnapelekaga wapi inamana nyumba aliyo kujengea fundi siyo yako kisa mjenzi ni fundi massawe!!"Iliyojengwa nchini urusi" nilipofika hapo nikaacha kuendelea kusoma.
hivyo vitu vyote ulivyovitaja angola kavilipia-ndio maana nasema ukisha nunua kitu umiliki unakuwa wako haikutakuwa kuwepo na bendera ya urusi pale.labda kuwe na vitu ktk umiliki ambavyo havijakaa sawaSatellite imetengenzwa na kampuni ya urusi. Imerushwa kwa rocket za urusi. Kutuo cha kucontrol hiyo satellite huko angola kimejengwa na urusi na wafanyakazi wamepewa mafunzo na urusi. Hapo bendera inayotakiwa kutolewa ni ya angola sio urusi
Sasa shida yetu watanzia ni nn? Tunahitaji miaka mingapi ili tuweze hata kuwafikia Angola?Kuwa na vita hsimaanishi nchi haiendelei uchumi WA nchi hauna correlation na miaka ya Uhuru WA nchi husika
Bali ubunifu na uwajibikaji WA watu wake ndo nyenzo kubwa ya maendele
years of independence is just a number that countable but devpt is a process
Tuwaulize watawala wetu wa ccmNdio je imeleta faida gani
Hizi ni execuses zetu tu tumeshazizoea. Kila siku aheri ya jana.Nilikuwa nakujulisha tu kama wao wanauza hiyo almasi miaka mingi tu kama sisi na hayo mafuta ambayo sisi hatuna(hatuuzi).
Karibu madini mengi ambayo tunayo wao pia wanayo wanauza, lakini sisi tunauza Tanzanite ambayo wao hawana, mapato ya hii Tanzanite ni madogo kuliko mapato ya Petroleum ambayo wao wanauza.
Na mimi nilitaka nimjibu hivyoHizi akili za kula maharage,America ana satelite lakini anarushia kazakhastan
Watu na majibu yaoHizo bombardier zilitengenezwa Bongo. ?
Utulivu huufanya ubongo kuwa lazy...ubongo needs kuchangamshwa! Hongera kwa AngolaMind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery
Kwahyo akili ya wabongo wazee wa vyuma imedumaa mkuu?Utulivu huufanya ubongo kuwa lazy...ubongo needs kuchangamshwa! Hongera kwa Angola
angola wana mafuta wameanza kuuza kitambo,...ninyi mna mafuta?
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
Mkuu mimi sikatai uzembe na matatizo yetu. Lakini kwanza ukubali facts nilizokupa.Hizi ni execuses zetu tu tumeshazizoea. Kila siku aheri ya jana.
mkuu ni taarifa sio tahalifa..Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndo mshamba halafu hujijuimbona naona barafu, angola kuna barafu? acheni ushamba.
Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius