Jeshi la Sudan laacha mazungumzo ya usuluhishi, kushambulia vituo vya Wanajeshi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Vikosi vya Jeshi la Sudan vimeendelea kufanya mashambulizi Jijini Khartoum baada ya kujiondoa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano yaliyosimamiwa na Marekani na Saudia, wakishutumu wapinzani wao kuwa wameshindwa kutimiza ahadi zao.

Wapatanishi wamezilaumu pande zote mbili kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalitakiwa kuwezesha njia salama za kupeleka misaada kwa watu wenye uhitaji wa misaada.

Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Kamanda Mohamed Hamdan Daglo vilishambuliwa na Wanajeshi wanaomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan.
---

Sudan Army Quits Truce Talks, Attacks Paramilitary Bases

Sudanese army forces blasted paramilitary bases with artillery in Khartoum on Wednesday after pulling out of US and Saudi-brokered ceasefire talks, accusing their paramilitary foes of failing to honour their commitments.
Mediators have blamed both sides for violating the truce which was supposed to enable secure corridors for delivering aid to an increasingly needy population.

In both the north and south of the capital, key bases of commander Mohamed Hamdan Daglo's Rapid Support Forces came under attack by troops loyal to army chief Abdel Fattah al-Burhan, residents told AFP.

A witness said there was "heavy artillery fire from army camps" in northern Khartoum, on the 47th day of a war that researchers said has claimed at least 1,800 lives.

Another witness reported "artillery blasts on the RSF camp in al-Salha" in southern Khartoum -- the largest paramilitary base and arsenal stock in the capital.

The attacks came two days after the United States and Saudi mediators said the warring parties had agreed to extend by five days the initial week-long humanitarian truce.

The mediators of the talks, in the Saudi city of Jeddah, acknowledged repeated breaches but have held off imposing any sanctions.
 
Duh MUNGU Baba tunusuru, AU wanasemaje? Au hawa jamaa sio member??
 
Wataalumu wa mambo ya kijeshi embu naombeni maelezo. Yaani mfano JWTZ wawe wanajua kwamba waasi wapo Kinondoni kisha kutwa mnapambana bila mafanikio inakuwaje hii?
 
Ngoja wachapane, madikiteita wa kiafrika dawa yao ni hivyo. safi kabisa, acha wauane wakibaki 10, then hao watakaa meza moja na kuongea demokrasi. inahitaji hivyo
 
Wataalumu wa mambo ya kijeshi embu naombeni maelezo. Yaani mfano JWTZ wawe wanajua kwamba waasi wapo Kinondoni kisha kutwa mnapambana bila mafanikio inakuwaje hii?
Mkuu usichukulie poa, hao jamaa wana namba ya kutosha, hao rapid force wako zaidi ya 100K, so namba jamaa anayo ya kutosha kufanya lolote.
 
Back
Top Bottom