econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 22,138
- 32,716
Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na kushtakiwa kwa ufisadi. Ila baada ya kifo Cha Magufuli hakukamatwa Wala kufunguliwa mashtaka.
Cha kushangaza huyu Angela Kizigha pamoja na kashfa hiyo yafuatayo yanaendelea:
1. Kwanza , hajakamatwa Wala kufunguliwa kesi yoyote. Pamoja kwamba ufisadi ulikuwa mkubwa.
2. Pili, ana uhusiano wa karibu na Rais wa Sasa Mh Samiah Suluhu. Yani mtuhumiwa wa ufisadi serikalini anakuwa na ukaribu na Rais wa nchi hii ni hatari. Kwenye kuchukua fomu za urais alikuwepo mbele kabisa na kwenye kampeni za urais yupo mbele kabisa. Hii Inaleta maswali je Rais anufaiki na ufisadi huo?
3. Tatu, huyu Angela Kizigha inaseemekana ndio anaendesha ofisi binafsi ya Rais. Yani yeye ndio mpanga mipango wa Rais nje ya Ikulu. Sidhani kama Kuna usalama hapo.
Kwangu Mimi kwa episode ya Jana ya Humphrey Polepole namuona Angela Kizigha kama Nyota wa mchezo wa Jana maana sio kawaida uruke Jela kwa ufisadi Hadi uwe mpanga mipango ya Rais.