faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Kama kawaida nadhani ile tarehe ambayo Mh Angel Kairuki alitangaza kuwa ndo siku ya mwisho kuwafukuza kazi watumishi wasio na vyeti halisi ni leo.
Sasa nasubiri kauli nyingine tena kama kuongezewa muda, uhakiki wa mara ya mwisho, kutuma wataalam wakusanye vyeti n.k. Haya yote ndo tutajua changa la macho au kweli mlikuwa na nia