'Angel numbers' ni nini?

'Angel numbers' ni nini?

Nikufatilia

Mimi huwa natumia siku ya Thursday kufanikiwa katika mambo yangu

Siri -siku hii huwa ni fasting and prayers in Muslim .

Siku ya kutembelea makaburi kwa watu wa imani ya Hindu ,budha.


So unashauriwa ukitaka kupata power itafute na manifest mambo yako


Kuhusu namba ambayo hujirudia Sana ni moja
Alafu kuna watu wanakuja na utoto wao au uzwazwa anakuuliza et umekua tajiri daah
 
Mimi siamini Katika hizo namba lakini nimejikuta nikifanya vitu vyangu tar. Zenye 9 to mention few nimezaliwa tar 29/5 nikazaa mtoto wangu wa kwanza tar 29/6 nikazaa wa pili tar. 19/9
 
uwa inanitokea automatically utakuta unacheki muda kwenye simu gafla unakutana na namba izi 2:22,4:44,5:55,11:11,1:11
 
Inadvisable katika ulimwengu wa number hizi ni message kutoka kwa ulimwengu au malaika au higher power

Kuna number pia zinaaminika ni lucky number, kama 9, 3....au unaona kwenye kamari 777, na hizi number huwa zinatofautiana from different cultures.

Mfano kuna watu wanaamini 666 ni number la sherwani wengine wanaamini ni number za kheri
nashukuru kwa maelezo mkuu
 
Na kila inapotokea huwa naangalia nipo katika tukio gani na nafanya nini..

Kwa sasa nimeachana nazo kidogo ila nimegundua kuna maana ndugu zangu haya mambo ni serious.

View attachment 3007901
nasikia wanasema huwezi kukwepa hizi namba, popote utakapoenda lazima ukutane nazo na zinatokea muda ambao jambo fulani linaenda kutokea.
 
Mimi siamini Katika hizo namba lakini nimejikuta nikifanya vitu vyangu tar. Zenye 9 to mention few nimezaliwa tar 29/5 nikazaa mtoto wangu wa kwanza tar 29/6 nikazaa wa pili tar. 19/9
sasa kibaya kwenye hizi namba huwa zinakufosi uamini matukio yake na huwa yanatokea kweli na ndyo maana huwezi kuziepuka
 
Back
Top Bottom