'Angel numbers' ni nini?

'Angel numbers' ni nini?

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,918
Reaction score
3,139
Wanandugu tafadhali naombeni msaada wa kufahamu juu ya mada tajwa hapo juu, maana nimeona watu wengi wakijisifu kimafanikio kwa kuhusisha namba fulani ambazo wanadai wakiziona nyakati fulani kwenye maisha yao basi ni lazima watusue.

Lakini nimesikia kuna baadhi ya watu wanasema hizi namba huwa zinatokea, kwa bahati yaani hutajua inatokea mda gani, na huwa inatokea popote pale, iwe kwenye saa, kwenye kitabu, magazeti au popote ambapo unaweza kuona namba.

Na nimesikia pia kila mtu ana namba zake ambazo akiziona basi lazima akutane na zali yaani lazima atapata bahati siku hiyo.

Mfano wa hizo namba ambazo nimesikia watu wakizisema sana mtandaoni ni 11:11, 20:20 cjajua kama kuna namba. hili swala limeleta sintofaham kwa watu wengi akiwemo na mimi.

Naombeni kujuzwa wananzengo, au labda kama kuna thredi iliwahi kunipita tafadhali naomba msaada wa linki, ili namim nipate kujua kinagaubaga.

Angel numbers nini? na ni kweli zipo?🙏
 
Inadvisable katika ulimwengu wa number hizi ni message kutoka kwa ulimwengu au malaika au higher power

Kuna number pia zinaaminika ni lucky number, kama 9, 3....au unaona kwenye kamari 777, na hizi number huwa zinatofautiana from different cultures.

Mfano kuna watu wanaamini 666 ni number la sherwani wengine wanaamini ni number za kheri
 
Sasa ndugu,angel numbers zimekuwepo karne na karne. Na sio big issue sana.

Mfano kila mara ukisajili simu, unakutana na sequence za naamba mfano 9899 au 9998, au 07832230..... 07831234 yaani ww maishani mwako, kuna namba huwa hujirudia kwenye matukio.

Mfano, mara nyingi ukianngalia saa unakuta 11:15 kesho hivo hivo. Angel numbers ni namba zinazojirudia mara kwa mara kwenye uwepo wako. Na hizi jaswa huwa zinaakisi mambo yako ya kila siku.

Haswa kwa saa. Kwenye namba za simu, au traffic light kila ukikaribia unakuta sekunde flani. Zenyewe huwa zinajirudia

Inaweza isiwe maara nyingi sana ila ni mara nyingi kiasi unaktana na namba hizo.

Umenunua vocha ina 9998, umenunua gari ina 999, umenunua kitu bili inakuja 109,990, umefika kwenye traffic lights unakuta sekunde 98.

Yaani tunamba flani huwa tunajirudia ndio angel numbers, watu wakaona wazitambue, ila there is no big issue about them ila fikra. Tu zako.

Soma sana, Fanya kazi,juana na watu. Kuna miasha
 
Unaweza sema nakusudia ila hapana inatokea natural..

Na hii nilianza kufatilia baada ya kuangalia movie moja ya kiarabu inaitwa 11:11 kidogo kuna kitu nika jua kuhusu hizi namba
 
Na kila inapotokea huwa naangalia nipo katika tukio gani na nafanya nini..

Kwa sasa nimeachana nazo kidogo ila nimegundua kuna maana ndugu zangu haya mambo ni serious.

Screenshot_20231202-210918.jpg
 
Nasoma hapa saa yangu ikisema 19:19,aya angel number hiyo au?
 
Huwa na screenshot then nacheki mda imenikuta hiyo kitu ni wapi...!
.
Then kinachofuta hapo ni kuwa careful na hilo jambo maana naamini hii sio bahati mbaya ila ni kama alert ya kitu furani
Screenshot_20240502-101007.jpg
 
Kufanikiwa ni kupambana tu ingawa na bahati inachangia ila huwezi kutengeneza bahati ili ufanikiwe.
 
Back
Top Bottom