Mguu anao sura ana supplementary......nyuma sijapaona kama kumetuna kama unapicha kapigwa nyuma weka.....alafu huo ukuta vipi? demu mkali hapigi pigi picha hata sehemu ambazo hazina background nzuri.Pili sura inaonekana kama anakula simenti imekakamaa na hapo kaweka make up ya nguvu.....akiamka asubuhi utamkimbia...