Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,080
- 744
Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Uko wapi unafiki wangu?
Tukisema ukweli,
Lowasa asingeweza yafanya haya ambayo Magufuli ameyafanya
Kwanza angeingiza nchi kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi ( Naamini angekopa saana)
Pili ingemchukua miaka zaidi ya mitatu kulipa fadhila kwa wale waliompiga support hususani za fedha
na kikubwa zaidi rasilimali za nchi zote zingekuwa rehani
Ni mtizamo TU
Ya kununua ndege za maana si kama hizi na kuhakikisha kila mtanzania anafurahia uingozi wake sio utawala kama wa huyu kuleta msiba kwenye msibaKama yepi kwa mfano?
Nimehoji hiyo comparisonWapi uhandisi ulipoonekana? Kwa wanafunzi kuitwa ****** na wengine kukosa mikopo? Kwa mahosipitali kukosa dawa? Plz be realistic & objective stop being so much in love with your Party.
Ungeongezea na hayaSabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Point!😳😳😳
Nyani Ngabu Kuna tofauti kubwa sana kati ya watu hao wawili.Mmoja ni Mwanasiasa na Mtafutaji vs Mwanasiasa kwa Bahati tu na Mtendaji. Sasa tusije Kariri kanuni isiyosahihi kwenye Mikwamo yetu ya Kimaendeleo.
Umesikia wapi watu wanamlaumu kwa mengi aliyokwisha ya fanya zaidi ya lawama kwenye issue ya uhuru wa shughuliza za kisiasa.
Nilishawai kuwaambia Watanzania kuwa chama ni watu na si mtu. Ccm hata wamsimamishe Yesu Kristo kwenye uchaguzi sita mpigia kura.Sasa hivi namba tunaisoma, huku watu wanafukuzwa kazi Kote serikalini na private, biashara haziendi, nchi haiwekezeki, hospitali hakuna dawa(chanjo Zinatafutwa kama tochi), kwenye Elimu vijana wananyimwa mikopo.
Ki ukweli watawala wajiangalie maana CCM tuliishaichoka matumaini yalikuwa kwa mtu na sio Chama, sasa na yeye Ndio Hali kama hii.