road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
Sio rahisi kumtumbua kwakua mhusika ni kutoka kanda ya ziwa " bashingwe"Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.